Ushauri wa haraka Plz......!

Yah ni kweli! Tumemshauri mkaka apeleke kwanza issue kwa wazazi wake, baada ya hapo sasa ndo watajua kama kuna kizingiti au la!

Nao wanajistukia tu,kwa nini wahisi wazazi watapinga? Wawaeleze kwanza wakipingwa ndio waombe ushauri,sio wanakunja suruali kumbe mto wanaojiandaa kuuvuka umekauka maji! Waufikie kwanza,wakikuta maji ndio wakunje suruali
 
Back
Top Bottom