Ushauri wa dharura

Guns and Roses

New Member
Aug 15, 2011
2
0
Habari zenu?
Dada yangu anahitaji ushauri wa haraka kabla hajapata shinikizo la damu.
Dada anahisi shemeji hampi kipaumbele kama yeye anavyo mjali . Kwa kweli dada anampenda sana huyo bwana,
na shemeji naye anakiri kumpenda sana dada lakini inaonekana kuwa ni maneno mengi ya wanaume kuliko ukweli.
Juzi kati dada alimpa mitihani midogo kumpima kujua kama kweli ana mapenzi ya dhati. Shemeji bila kujua akarukia kwenye hiyo mitego ikamnasa.

Mtego mmojawapo ni kuwa badala watoke wote kwenda kwenye sherehe ambayo walialikwa, dada akamwambia shem aende tu mwenyewe, na shem akafurahia sana hiyo outing ya peke yake kitu ambacho dada alikitafsiri vingine.Shem hakujaribu hata chembe kumsihi dada waongozane kitu ambacho siku za nyuma ilikuwa haijawahi kutokea. Kwa kifupi dada anataka kufanya maamuzi magumu ya kuachana naye maana anahisi kuna mtu wa pembeni anayemzuzua shemeji.

Waungwana nyie mnaonaje hili?
 
nae dada ako ni mpuuuzi tu hawezi akamwambia mtu aende kwenye sherehe peke ake ye alitaka abembelezwe
 
Jaman,wanawake wanapenda kujaliwa,na huo ndo udhaif mkbwa...jamaa lake cheche hkn k2 hapo.
 
mimi huwa nina formula moja.......

kama kuna kitu serious,nitakuonyesha upendo wa kweli..
lakini kama kuna mtego nimewekewa...nitahakikisha nafeli huo mtego....

sijui why some women wanapenda mno,tabia ya kumpima mtu....wengine hawapimiki
 
Sijui kwa wengine... but mimi ndo huona weengi wetu huchemka hapo... ukihisi tatizo kidogo tu katika ndoa/mahusiano yako unataka kuachia ngazi... ndo maana unakuta couples nyingine zikiachana huku bado wapendana.... Sasa hili la dada yako... Mapenzi hayawezi enda siku zoote constant, eti vile mapenzi yalikua mwanzo basi siku zoooote yawe vivo hivyo... haiwezekani kabisa.... inapotokea kua wahisi mme buma... wahisi kabadilika kidogo.. wahisi hauna tena umuhimu kwake... fight! hakikisha kua you work with extra abundant efforts to maintain huo uhusiano... ila hata ikishindikana kuweza contain hio relationshionship - at least you know you tried...

Hayo mambo ya kupima kila saaa.... na kila mara wataka kuonesha wee pekee ni wa maana katika hii dunia... of course ni nzuri for that is what makes us feel speacial katika relationships... however inabidi pia ujue kuna wakati mpenzi wako aweza kabisa isha hamu juu yako (thou still loves you).. ni muhimu kuvumilia for in most cases hurudi katika mstari with time... thou not always... saingine hua ndo imetoka.... Kikubwa ni kuepuka maamuzi ya haraka... na issue za kuchunguuuuza! Chochote uchunguzajo ni lazima pawe na results..... Whether to your liking or not… that is another issue…
 
Hapo ndipo siku zote ninapoona busara zako, haya ni maneno mazito sana. Thanks a lot!!
 
ana ushahd? Kukubali kwenda kwenye sherehe mwenyewe c kipimo cha usaliti, unless km kuna k2 umetuficha!
 
Nadhani kuna mengine hujasema haiwezekani dada yako afikie uamuzi mkubwa kama kufikiria divorce kwa sababu ya jamaa kutokumbembeleza kwenda nae party. Aendelee na research yake ili hata atakapoomba talaka awe na vivid evidence si kudhania tu.

Kutakuwa kuna kitu kikubwa kinaendelea baina yao na si lazima wewe ufahamu yoote yanayojiri kwenye ndoa ya dadako kwani kwa kawaida watu ni wagumu na wanasikia vibaya sana kushare mambo ya ndani.

Ila mshauri atafute evidence ya nguvu kabla ya kuchukua maamuzi mazito kwani ndugu na jamaa wa pande zote mbili watamuona yeye ndio tatizo akija na maelezo mepesi kama hayo ulosema na kudai ndiyo yanayomfanya afikirie talaka.
 
Hicho kipimo!!
Hivi ni lazima umpime mtu ndio ujue anakupenda? Unampima ili iweje sasa au mnataka kujipa stress..
Huyo shemeji nae anahitaji nafasi, sio muda wote kuandamana tu kama visisimizi. Alifurahi maana alijua atapata nafasi ya kuinteract na watu wengine, kupata ideas mpya na vitu kama hvyo.
 
Kuachana ni kutatua takizo kwa muda mfupi wala si la kudumu, kwanza huyo dadako mshauri ajiamini, kuwa na wasiwasi juu ya mumewe ni dalili ya kutojiamini kuwa yuko peke yake, mwangalie vizuri dadako kama ni mjamzito wala usihangaike, huwa mama zetu wakati kama huo wanapata negative psychological dispositions hasa kuona kuwa hawapendwi na waume zao.

Unaweza kukaa na shemejio kama wa2 wazima muongee juu ya hilo. Yote tisa, kumi ni kuwa huo unaouita uamuzi mgumu atakuja ujutia akigundua kuwa hisia zake hazijawahi kuwa za kweli.

MSHAURI AKAE KWENYE NDOA YAKE, akubali kuwa kuna milima na mabonde kwenye ndoa na si maziwa na asali kama wengi wanavyodhani!

Take ii or leave it!
 
Hicho kipimo!!
Hivi ni lazima umpime mtu ndio ujue anakupenda? Unampima ili iweje sasa au mnataka kujipa stress..
Huyo shemeji nae anahitaji nafasi, sio muda wote kuandamana tu kama visisimizi. Alifurahi maana alijua atapata nafasi ya kuinteract na watu wengine, kupata ideas mpya na vitu kama hvyo.

On this dadangu you will always be right! Asante hata kama nimekugonga LIKE
 
huyo dada yako ameichoka ndoa,anatafuta sababu tu za kujustfy kumuacha mumewe........ kukaa na limtu ambalo halipendi tena au kumove on...the matter is in her hands!
 
mwambie aondoke ili wenzake wafaidi vizuri vile alivyovianzisha. Maisha ni kupambana sio kuwekeana mitego. Wewe ukisusa wenzio wala
 
sometimes tukienda kwenye sherehe na nyie tukifika ukumbini mnanuna tuuu!! khaaaaaaaa ndo maana jamaa kafurahia kwenda alone!
 
Kwa hiyo unataka tukushauri wewe au dada! Kiujumla kama kuna mabadiliko ameyaona na anampa mitego ananasika basi kuna kitu nyuma ya pazia, ila uamuzi mgumu katika sector ya mapenzi mmhh, nadhani ni muhimu kukaa chini kuyaongea haya mambo hata ikibidi husisha watu wenye busara, kama mwanamke ni mdhaifu??akifanya maamuzi magumu na akaenda kuanza na mwingine ikawa the same story anaachana nae na kwenda kwa mwingine?? Haya mambo yanazungumzika, inawezekana kuna mambo jamaa alikuwa anayapata siku hizi hayapo na amevumbua chimbo anakayapata hayo mambo so what? Na shem wako si muwazi angesema kinachomsibu! Waambie wote wavunje ukimya!

Jamani yangu ni hayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom