Ushauri wa dharura:naombeni ushauri wa jinsi ya kumuacha my galfrd kistaarabu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni kwamba nliondoka ghafla bila kumuaga,sa hzi tuko mikoa tofaut na ninahis ana kidume kingne tayar knamzuzua.naomben mnipe maneno yenye busara yatakayo tufanya wote tuachane kwa aman...natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama shida yako ni amani ongea nae umweleze kwamba hujafurahishwa na mabadiliko yake..kwahiyo unaomba mtofautiane njia!!
 
hii ni classic case ya " if u want to short circuit ur relationship live in different cities"
sasa kaka vizuri kuwa umeona kuwa hapa hamna uhusiano tena na ni vyema kujiachia zako
mwambie tuu kuwa wewe unashindwa kuvumilia hayo anayokutendea hivyo ni bora kila mtu achukuwe hamsini zake.
 
yaani kwa hivo vituko vyote una bado umekuja jf kuomba ushauri...................KUSOMA HUJI YANI HATA PICHA TU.
 
hii ni classic case ya " if u want to short circuit ur relationship live in different cities"
sasa kaka vizuri kuwa umeona kuwa hapa hamna uhusiano tena na ni vyema kujiachia zako
mwambie tuu kuwa wewe unashindwa kuvumilia hayo anayokutendea hivyo ni bora kila mtu achukuwe hamsini zake.

nashukuru kwa points zako mkuu.
 
Sasa na wewe unaondoka bila kumuaga mpenzi wako inakuwaje? kama umechoka na tabia zake mueleze wazi ajue kama kuna uwezo wakijirekebisha au bado ipo nafasi ndani ya moyo wako japo kidogo basi muite muonge yaishe,la umeshatosheka na yeye muite vile vile au mpigie umueleze kua hutoweza kuendelea na yeye sababu 12345 kwahiyo ajipange.......
 
Sasa wewe utamuachaje tena wakati yeye ameshakuacha tayari...

Acha kumsumbua kwenye simu... Usipige tena wala usiandike mesej maana hataki kuziona... Ebo!!!
 
Sasa na wewe unaondoka bila kumuaga mpenzi wako inakuwaje? kama umechoka na tabia zake mueleze wazi ajue kama kuna uwezo wakijirekebisha au bado ipo nafasi ndani ya moyo wako japo kidogo basi muite muonge yaishe,la umeshatosheka na yeye muite vile vile au mpigie umueleze kua hutoweza kuendelea na yeye sababu 12345 kwahiyo ajipange.......

nimekuelewa mkuu.
 
Nyie watu nyie....
Njia nzuri lakini maana haina cha niambie kosa langu wala sikubali uniache mi nakupenda.
Kasema anataka njia ya kuachana kwa amani, sasa nadhani kwa njia hizi mdada wa watu atamshukuru jamaa sana na amani itapatikana.
 
Mbona kama tayari umeshaachika. Kaa kimya, usitume sms wala usipige. Ukiona hiyo namba inakugasi ifute kabisa.
 
Kaka unaposema unataka muachane kwa amani sijui amani gani labda ya CCM..

Sema nimeachwa kwa dharau kama simu hapokei hajibu sms unadhani kuna nini?

Basi ngoja nikuliwaze mwambie nimepata mwanamke mwingine
 
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni kwamba nliondoka ghafla bila kumuaga,sa hzi tuko mikoa tofaut na ninahis ana kidume kingne tayar knamzuzua.naomben mnipe maneno yenye busara yatakayo tufanya wote tuachane kwa aman...natanguliza shukrani.

Senator mkuu,kabla cjakupa ushauri,kwanza niambie huyu ni shemeji yetu yule wa mwanza? Lol!
 
Back
Top Bottom