Ushauri wa bure - wimbo wa taifa

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,886
11,282
Wakuu jana nimesikitika kuona jinsi wimbo wetu wa taifa ulivyoimbwa na kijana pale taifa tena mbele ya wanajeshi wa vyeo mbalimbali, makamanda na amiri jeshi mkuu... nilisikitika zaidi nilipoona brass bendi yetu pia

Mimi naomba kushauri waandaaji wa hizi shughuli... acheni vijana wasanii waimbe kwenye shughuli za kisanaa zaidi kama football, boxing, matamasha nk. halafu wapeni heshima zao wapiganaji wwetu na makambanda wa kitaifa

Nina imani hata huko marekani na ulaya [tunapoiga mambo haya]; kuna sehemu wanaachia vyombo husika na si wasanii tu; kiukweli nimesikitishwa jana kukosa mwimbo wetu wa taifa niliozoea with brass band

nothing personal, ila nimehisi kama tutaanza ku-erode kila cha heshima Fulani na kuingiza usanii everywhere sasa
 
Wakuu jana nimesikitika kuona jinsi wimbo wetu wa taifa ulivyoimbwa na kijana pale taifa tena mbele ya wanajeshi wa vyeo mbalimbali, makamanda na amiri jeshi mkuu... nilisikitika zaidi nilipoona brass bendi yetu pia Mimi naomba kushauri waandaaji wa hizi shughuli... acheni vijana wasanii waimbe kwenye shughuli za kisanaa zaidi kama football, boxing, matamasha nk. halafu wapeni heshima zao wapiganaji wwetu na makambanda wa kitaifa Nina imani hata huko marekani na ulaya [tunapoiga mambo haya]; kuna sehemu wanaachia vyombo husika na si wasanii tu; kiukweli nimesikitishwa jana kukosa mwimbo wetu wa taifa niliozoea with brass band nothing personal, ila nimehisi kama tutaanza ku-erode kila cha heshima Fulani na kuingiza usanii everywhere sasa

Kweli mzeee.......
 
Back
Top Bottom