hii inaukweli especially to desperate women...
Hiyo title yako ungeiedit kidogo hakuna mtu asiye na akili anaingia humu. Kusema kwa wenye akili sio vizuri umeniput off kabisa
heheheh sie ni machizi bi dada,,,hii ni kwa wenye akili tuuuu,,,nashangaa umekuja haya nimekuja kuchukuwa tutoke haraka tena,,,,, :smash::smash::smash::smash:
Na wasio na akili wafanyaje?
Twende zetu kule kwa I Love you Baby ukanijibu swali/ombi langu
Sina akili mimi
nahisi wewe unazo. Mi ndio sina kabisaaa.
Na wasio na akili wafanyaje?
tunaomba jibu plzzzzzzzz
ha hahaaaaaa!! Da Dena kati ya vilaza naona naongoza!!!
ngoja tuwasubiri wenzetu waliosoma shule za watoto wenye vipawa maalum tupate ku-desa!!!
tunaomba jibu plzzzzzzzz