Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Inauma sana pale watoto wa masikini wanaponyimwa mikopo kwa majibu ya bajeti haitoshi eti sababu sungura mdogo,hii haikubaliki ukizingatia bajeti ya elimu bado haijapitishwa hivyo sioni sababu ya wenye sifa kukosa mikopo,hivyo tuungane kwenda wizara usika mpaka kieleweke hakuna kurudi nyuma.