Ushauri wa bure kwa mheshimiwa Rais!

amare

Member
Nov 24, 2011
12
0
Mheshimiwa sana Rais wetu, hii ni nafasi kwako kuwaonesha watanzania utendaji wako uliotukuka hata kama wamekuchoka wewe na chama chako! Nakushauri fanya mabadiliko ya balaza la mawaziri kwa umakini wote bila kutazama urafiki na wala uswaiba! acha usanii! ni muda wa kuua nyani bila kutazama usoni! na uhakikishe hao waliotuhumiwa wanafikishwa mahakamani na ubunge waachishwe kabisa! Hapo Jk utakuwa umefanya jambo adimu sana na utakumbukwa maisha yako yote. Nakushauri mkuu wangu "Please be very serious in this because if it will happen again is better to leave the state house and go back to your home land! to let other try!
 
Back
Top Bottom