Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
The VIBE CLUB iliyopo jijini Mbeya eneo la Forest jirani kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe-Tawi la Mbeya,Ni Club ya kisasa na ya aina yake eneo lote la nyanda za juu kusini Tanzania (Rukwa Mbeya,Ruvuma,Iringa,Njombe na Katavi unaweza kuifananisha na
Maisha Club,Sunsiro Club na Bilicanas-Dar
Club 84-Dodoma
La Liga-Moshi
La Cassa Chica-Tanga
Lakini Club hii inayomilikiwa na kijana ambaye amebobea Masoko katika (Marketing) Imani Kajula na yenye wafanyakazi weledi,usalama wa uhakika,mazingira bora,usafi wa hali ya juu na yenye madaraja(Class) yaani VIP na kwa kawaida...Haina wateja kabisa ukizingatia ilikuwa Ijumaa (Kulikuwa na wateja 10 tu) (VIP wateja 2) ukilinganisha na Pamodzi...Club chafu sana,Vyoo vichafu,Giza,vurugu sana,Hakuna ulinzi baadhi ya wateja walikuwa na visu na BastolasalamaHakuna Emergency exit ukitokea moto ndio hivyo tena...Ikiwa na wateja waliojaa mpaka hata hakuna pakukanyaga,hewa ni nzito...(Wateja zaidi ya 200)
Ushauri wangu kwako Bw.Kajula
Badilisha Dj
Tambulisha huduma ya Ladies Free on weekdays
Puguza Kiingilio Badala ya Elfu 5 cha sasa kiwe Elfu 3
Kiingilio cha Partners kiwe Elfu 5
Punguza Bei ya Vinywaji
Kampuni Corporate zilizopo hapo jijini Wafanyakazi wake waingie kwa Entries ya Shilingi Efu 1 kila mmoja ilimradi atoe kitambulisho.
Anzisha Members Coupons nk nk...
Natumaini utalifanyia kazi wazo langu...kwani najua unapita humu...