Ushauri wa bure kwa CHADEMA (tafadhali zingatia sana)

Wewe pia hutofautiani na Manyanya hakuna sehemu yoyote ambapo Chadema wameshabikia mgomo na ndomana wamepigania sana lijadiliwe Bungeni na spika akalitolea nje kwakivuli cha mahakama.
You are behind the news mkuu.
Soma magazeti ya leo juu ya mikutano ya usiku usiku kati ya viongozi wa Madaktari waliogoma na CHADEMA katika hoteli ya Desert Palm na Dear Mama huko Dodoma.
 
<BR><BR>unawashwa nini? huu ushauri ni kwa ajili ya baba mwanahasha, mkwele, dakitari binwga wa watoto wanaopata ziro fomu iv katika shule bora<BR>

Mkuu Shambano, huyo majebere asikuumize kichwa nadhani labda anapata mgao fulani kutoka kwa nape we fatilia comment zake sijui ndiye rejao au faizafox
 
Ibro Mo, hachana na propaganda za serikali, ata jamaa waliomteka Dr ulimboka walikuwa wanamtesa wakitaka kujua nani yupo nyuma ya mgomo, ccm wanaamini hivyo kuwa chadema ina mkono wake kwenye mgomo lkn ujue ni uongo mtupu, ebu muulize Dr HK ni mbunge na ana marafiki wengi Drs na abaijua MAT vizuri tu, atakwambia kama mgomo una influence na vyama vya siasa.
 
MKUU Pulpitis, hivyo ndio inavyokuwaga kwa serikali yoyote dhaifu... yenyewe siku zoote huwa haina mikakati ya kutatua na kusikiliza shida za watu wake mara zoote hujikita katika kuahirisha matatizo( Kuyalimbikiza), kwa kumtafuta mchawi... kila kitu kiko wazi kuhusu hali ngumu ya maisha waliyonayo wananchi, wakati nchi ni tajiri sana unasikia watu wameficha matrilioni huko nje, kila sehemu ni wizi, leo wanasema hawana pesa, lakini fedha za kuzungushia mwenge, na kununua maviex zipo,.... fedha za kulipana posho hazikosi... watu wanakufa kwa kukosa madawa... leo Angalia vijana wetu wa primary mpaka vyuo vikuuu ni shida tupu... elimu inaporomoka... serikali haijali.... mtu anayetoa vithibitisho vya wizi au ufujaji wa rasilimali anaonekanan aduii.... lakini kwa kweli kuna siku hali itachafuka na hapo ndio itakapokuja kudhihilika kuwa COMFLICT IS THE SOURCE OF CHANGE.
 
Wewe pia hutofautiani na Manyanya hakuna sehemu yoyote ambapo Chadema wameshabikia mgomo na ndomana wamepigania sana lijadiliwe Bungeni na spika akalitolea nje kwakivuli cha mahakama.
You are behind the news mkuu.
Soma magazeti ya leo juu ya mikutano ya usiku usiku kati ya viongozi wa Madaktari waliogoma na CHADEMA katika hoteli ya Desert Palm na Dear Mama huko Dodoma.
 
Kumbukeni maadui wenu wa kisiasa na serikali yao yenye makachero takribani 250,000, na Watumishi wake vya vyombo vya usalama na nyadhifa mbalimbali takribani ya 400,000 hawatakuwa tayari ajira zao ziingie mchanga kirahisi kama mnavyodhani. Mtangulizeni Mungu kwa kila Jambo.

Mungu ibariki Tanzania.
Una maoni gani kwa Uchanguzi wa ndani wa Chadema?.
Mimi yangu ni haya
Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
Mnakasirika

P.
 
Back
Top Bottom