Ushauri wa bure kwa ccm jaribuni kuwa na government spokes person

Mbeu

Member
Jan 22, 2011
35
0
Hali hii ina sikitisha hamna utaratibu maalumu wa kuongea na wananchi, mada ni moja lakini kila waziri anaropoka anachofikiri ni sahihi. mfano waziri Membe kazungumza lake kuhusu Chama fulani kufadhiliwa na Balozi at the same time anakurupuka waziri (SS) mwingine anataja chama Kwa jina. please CCM naomba muwe na utaratibu wa kuwa na GOVERNMENT SPOKES PERSON, maana mna chafua HALI YA HEWA na uropokaji wenu Behave!
 
CCM -A vs CCM-B, Pinda vs Mgufuli Membe vs S.Simba Lukuvi vs Mponda Lowasa, Sumaye vs UVSISM.
Wasira vs mkwere
Hoja moja nani awe msemaji mkuu? Pasua kichwa "PK" hao achana nao
 
Hali hii ina sikitisha hamna utaratibu maalumu wa kuongea na wananchi, mada ni moja lakini kila waziri anaropoka anachofikiri ni sahihi. mfano waziri Membe kazungumza lake kuhusu Chama fulani kufadhiliwa na Balozi at the same time anakurupuka waziri (SS) mwingine anataja chama Kwa jina. please CCM naomba muwe na utaratibu wa kuwa na GOVERNMENT SPOKES PERSON, maana mna chafua HALI YA HEWA na uropokaji wenu Behave!

Umeongea aroo
 
Back
Top Bottom