USHAURI: Usije UDOM, kama umechaguliwa pale fanya taratibu za uhamisho haraka.

Hivi kama yote uliyo yaandika ni kweli kwa nini hukuwaonya wakati wanachagua umesubiri hadi selection zinatoka? Nendeni UDOM mkapige mzigo and make it a better varsity kupitia student organisation yenu. TCU hawawezi ku-entertain uhamaji usio kuwa na sababu za msingi.
 
Mkuu chuo cha hovyo sana, kuna vyuo vidogo kama ATC, DIT na WDMI vinatoa elimu bora licha ya udogo wao.
Hivi ikitokea bodi wanasema hakuna majina yaliyopelekwa kwa ajili ya wanafunzi wa field hapo nani wa kulaumiwa??
Mchanganuo wa kupewa pesa za field huwa unaanzia kwa class representative wa program husika kuandaa list ya wahusika wote wenye sifa, kumaanisha wenye allocation za pesa za field then majina yanapelekwa kwa dean of school yeye ndo ataandika barua kwa ajili ya kuombea hizo pesa so kama tatizo linatokea wakati mwingine bodi ya mikopo inahusika na hata chuo wakati mwingine inahusika.
 
Je kuna ukweli wowote katika hayo maelezo ya mtoa mada?
mkuu ni kweli mtoa mada alichosema ila boom kuchelewa hilo sio tatizo la kufanya mtu asiende udom bali kwa hzo coz nilizozitaja hapi juu simshaur mtu aende maana ata kubadil ni sheedah af tukiwa mwaka wa pili hapo udom tulijariby kuwaita wakuu wa cnms na utawala mkuu kuwaeleza juu ya mustakabali wa hzo coarse tajwa hapo juu lakin wakasema waliotunga mtaala ndo walikosea akiwemo gharib bilal makamu mkuu wa rais aliyepita kweny mtaala wa Bsc physics na wakasema hawawezi badilisha mtaala ad watu waliopo wanasoma wamalize then cha kutusaidia watapunguza admission capacity ya hzo coars mf. bsc phy walikua wa nachukua watu 200 saiz ni 50tu
 
Sasa kama nimechaguliwa tayari,uhamisho nitafanyaje ili niupate
 
Mchanganuo wa kupewa pesa za field huwa unaanzia kwa class representative wa program husika kuandaa list ya wahusika wote wenye sifa, kumaanisha wenye allocation za pesa za field then majina yanapelekwa kwa dean of school yeye ndo ataandika barua kwa ajili ya kuombea hizo pesa so kama tatizo linatokea wakati mwingine bodi ya mikopo inahusika na hata chuo wakati mwingine inahusika.
Sasa unabisha nini na unakubali nini?? Mara nyingi uongozi wa Udom hawajali kabisa swala la pesa za wanafunzi, huwezi mpa mwanafunzi kilicho bora wakati ana njaa ndio sababu vyuo vingine hutilia mkazo sana swala la mikopo ya wanafunzi wao.
 
Katika college zote, mara nyingi Natura science huwa wanawahi sana kusaini Boom kuliko hata hizo nyingine.
 
Poleni sana wadogo zangu na kipindi hiki kigumu kwenu katika kufuatilia mustakabali wa elimu yenu ya chuo kikuu.

Ushauri wangu kwenu ni kwamba jitahidini kadri ya uwezo wenu kutafuta elimu bora na sio bora elimu kwani itakua ni msaada mkubwa baada ya wewe kumaliza chuo huku mtaani hata kama utakosa ajira.

Elimu bora hupatikani Katika mazingira mazuri ikiwemo uongozi na walimu lakini haya mawili hayapo Udom licha ya majengo mazuri yenye uhaba wa maji.

Uongozi ni tatizo pale Udom hasa katika college ya COES na NATURAL SCIENCE , mfano kupata hela ya mkopo kutoka bodi kama bum na pesa ya PT ni kama kubahatisha kwa mwanafunzi wa pale. Hadi kufikia sasa kuna kundi kubwa la wanafunzi wa COES na NATURAL SCIENCE ambao hawajapata pesa ya Field na Special faculty na hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa zaidi ya ukiuliza utatishiwa kufukuzwa chuo tu.

Kifupi Kuna ombwe kubwa sana la uongozi chuoni pale hasa college ya COES na NATURAL SCIENCE kwani wakuu wake wamekua waoga sana na kukosa maamuzi.

Yangu ni hayo tu, usiponielewa hapa nenda mwenyewe ukajionee miaka mitatu au minne utakavyoiona kama muongo mmoja hapo Dodoma.
Kwahyo udom nzma yenye wanafunz takriban 20000 hilo tatizo umeliona ww pek yak !!ww ni nan hasa !!huwez kuwa unasoma udom ujifany kutaja college ili utafute kik tujue unasoma hapo!
 
Kwa kuongezea tu hasa kwa mlio chaguliwa faculty zifuatazo
1-Bsc.physics
2-Bsc biology
3-Bsc maths
4-Bsc stats na
5-Bsc chemistry

yani kwanza hizo coarse ni kupoteza muda tu then malectr ni pasua kichwa kinouma hasa kwa wanaoenda kusoma bsc math na bsc phy mtakutana na department ya maths wote wanaaa
sijaona faculty hapo kwenye namba 1-5
 
Kwa kuongezea tu hasa kwa mlio chaguliwa faculty zifuatazo
1-Bsc.physics
2-Bsc biology
3-Bsc maths
4-Bsc stats na
5-Bsc chemistry
yani kwanza hizo coarse ni kupoteza muda tu then malectr ni pasua kichwa kinouma hasa kwa wanaoenda kusoma bsc math na bsc phy mtakutana na department ya maths wote wanaaa
Acha uongo, math na phys department zao zinajitegemea na zipo School tofauti.
 
Vipi kuhusu ardhi na dit na vyenyewe vinacheleweshewa boom na mkopo au

Na vip kuhusu elimu yake
 
Back
Top Bottom