Ushauri unahitajika!!

zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,189
1,828
Jamani nina tatizo ambalo linanyima raha kila nionapo picha ya mpenzi wangu, na mambo yanayotokea hivi sasa. Huyu mpenzi wangu zamani alikuwaga mlokole pindi hicho hata hatujafahamiana, bt baadae baada ya kukutana huko masomoni tukatokea kupendana sana, so tukawa tuna du sex kama kawaida. lakini majuzi hapa alinitumia sms kwamba anataka arudi kwenye wokovu kma zamani hivyo akanitaka nisimwambie habari zozote tena kuhusu sex , (na kweli maana nimejaribu kumwambia filling zangu jana lakini naona hata hazijali kama zamani!!!!!!)
Source: Hii kitu imeanza baada ya kupata kazi kwenye kampuni fulani hapa mjini,anasema haniamini hata kidogo!! nifanyeje wakuuu!!!!
Shukrani
 
Kwasababu ulimpata kwenye ulokole, na wewe okoka mkutane tena huko huko ulokoleni! Si ameamua kumrudia Bwana?
 
Mshukuru Mungu kama amekuacha na kurudi kwenye "wokovu". Mtakie maisha mema.
 
Bwana eeehh na wewe OKOKA kimtindo, mapambio kwa sana lazima mtaendelea kama kawaida.
 
Jamani nina tatizo ambalo linanyima raha kila nionapo picha ya mpenzi wangu, na mambo yanayotokea hivi sasa. Huyu mpenzi wangu zamani alikuwaga mlokole pindi hicho hata hatujafahamiana, bt baadae baada ya kukutana huko masomoni tukatokea kupendana sana, so tukawa tuna du sex kama kawaida. lakini majuzi hapa alinitumia sms kwamba anataka arudi kwenye wokovu kma zamani hivyo akanitaka nisimwambie habari zozote tena kuhusu sex , (na kweli maana nimejaribu kumwambia filling zangu jana lakini naona hata hazijali kama zamani!!!!!!)
Source: Hii kitu imeanza baada ya kupata kazi kwenye kampuni fulani hapa mjini,anasema haniamini hata kidogo!! nifanyeje wakuuu!!!!
Shukrani

Huyo mkimbie kama ukoma, akili za wanawake nazijua zilivyo. Ukishaona anakwambia hivyo ujue ndiyo yamekwisha kwake na siyo kwako. Wokovu si uchoyo, wokovu ni process na mojawapo ni kupenda watu wengine kama tunavyojipenda wenyewe.

Huyo ni nyoka na hata anajishikiza na dini za uongo na wokovu wa uongo ili aendeleze uovu wake. Ana pepo mahaba kwa kuwa sasa ana kazi na anataka kitu kingine. Na hata mkioana akimaliza hatua moja atakuwa anacheat, kama alivyocheat katika wokovu huo wa uongo na kuwa mnazini pamoja.

Achana naye tafuta mwingine na mwisho wake utauona. Adui mwombee njaa.
 
Si unajua wanasema mpende Mungu wako kuliko kitu kingine chochote?
 
Jamani nina tatizo ambalo linanyima raha kila nionapo picha ya mpenzi wangu, na mambo yanayotokea hivi sasa. Huyu mpenzi wangu zamani alikuwaga mlokole pindi hicho hata hatujafahamiana, bt baadae baada ya kukutana huko masomoni tukatokea kupendana sana, so tukawa tuna du sex kama kawaida. lakini majuzi hapa alinitumia sms kwamba anataka arudi kwenye wokovu kma zamani hivyo akanitaka nisimwambie habari zozote tena kuhusu sex , (na kweli maana nimejaribu kumwambia filling zangu jana lakini naona hata hazijali kama zamani!!!!!!)
Source: Hii kitu imeanza baada ya kupata kazi kwenye kampuni fulani hapa mjini,anasema haniamini hata kidogo!! nifanyeje wakuuu!!!!
Shukrani

Unamaanisha baada ya kupata kazi ndo kaona kuwa wokovu ni bora zaidi kuliko mahusiano yenu?au mahusiano yenu yallihusishwa na uatfutaji kazi isije ikawa alikukubalia kwa kuwa alikuwa akihitaji ajira na baada ya kupata akaona azma yake imetimia ndo amekupiga chini kama kweli hakuna tatizo jingine?

Kuwa makini huyo mwache hana kipya tena
 
EEEE Bwanaee ulikuwa ujui,Mapenzi ya kukutana masomoni si ya ukweli kabisa
kwenye watu mia wa ukweli utokea mmoja, huyo jamaa amelalambele kiaina, cha kufanya be cool UTAMPATA WA KWELI.
 
hahahaaa! pole sana, huyo sio mkweli kabisa! kama mliweza kuicharaza amri ya sita akiwa ameokoka, atakuwa amepata mwanaume mwingine tu! hawa mabinti wanaojiita walokole tunawajua sana!!
Huyo alikuwa mwizi tu! lakini kama na wewe ulikuwa unataka kuchapa tu hapo mtakuwa ngoma droo
 
"Source: Hii kitu imeanza baada ya kupata kazi kwenye kampuni fulani hapa mjini,anasema haniamini hata kidogo!! nifanyeje wakuuu!!!!
Shukrani"

Hapa nani kapata kazi wewe au yeye?
Kama ni wewe, huo ni wivu tu anadhani huko kazini utapata mtu mwingine umlambishe sukari anayodhani ni yake tu!
Kama kweli unampenda mkalishe chini mhakikishie kuwa hutanwacha na kwa manufaa zaidi kwakuwa sasa hivi unakazi okokeni tu wote then muoane, muishi maisha ya ndoa. Hii lambalamba haifai!
 
Kaka mwanamke akikuonyesha dalili kama hizo ni heri ukaa mbali nae,inaonekana amempata mtu mwingine huko aliko pata kazi,unajua wanawake ni wagumu sana kukumbia amekuchoka au hana tena mapenzi na wewe.Sasa wewe ukiendelea kumgandaganda atakuliza vibaya sana,mmh! mapenzi bana full uchizi! hapa tutakupa kila aina ya ushauri, kama moyo wako bado uko kwake tutakuwa tuna mpigia mbuzi gitaa.Ebu tueleze una hisia gani na huyo mpenzi wako je bado unamuhitaji? ukituambia ndio naweza kukupa cheche za kwenda kumwagia ili arudi uedelee kula tunda kama kawaida.
 
wanawake ndivyo walivyo. wanaishi kwa hisia, mzee. naona hapo chaji za hisia zimeisha. utaniambia tu kwani itafika siku atakutafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom