Ushauri unahitajika

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Habari zenu wanajukwaa
Currently mimi ni mwanachuo naingia mwaka wa tatu nasomea bachelor ya business administration. Lakini from the bottom of my heart nimegundua napenda sana field ya information technology(IT) . Please naomba ushauri, naweza kusoma masters ya IT wakati degree ya kwanza nimesomea BBA?
 
Ki mfumo uanweza, namaanisha utakubaliwa kuenda masters lakini kiutendaji kazi utakua mweupe cause basics hutokua nazo

Lakini kwa kuwa elimu ya hapa kwetu bado ni ya kuangalia vyeti na si ujuzi then you can opt to turn to
 
Back
Top Bottom