Ushauri: Aliniambia ana msichana wake, nikaridhia, sasa kanipa ujauzito

Polee sana,usitoe hiyo mimba lea tu my dear wanawake wengi wanatafuta watoto hawapati ukifatilia utagundua huko nyuma walikua wanafanya sana abortion so wewe mungu kakubariki huna budi kumshukuru kwa baraka alokupatia achana na huyo mwanaume tena ikibidi kata kabisa mawasiliano naye,waeleze kwenu ukweli halisi wa mambo hope watakusaidia tu..ukishajifungua bado una nafasi ya kutengeneza future yako mtoto si kikwazo ndugu yangu.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mammy be blessed
 
ingekuwa ni wanaume was zamani ningekushauri zaa ulee mwanao ahaaaaa kwa kipato kip ulonacho? ya non kumbebesha mama yako mzigo? sio wote waliooa walikuwa wanataka kuoa waliyowapenda wengine ni kama vile were na sasa hivi wakome kwenye ndoa na wsnapendwa, kamatia hapo hapo atajua mwenyewe wakati anaichomeka hakujua ana mchumba?
 
Aisee.... ameshakwambia ana msichana wake it means we ulikua wa kuzugia ukakubali kuduu nae bila kinga. Mmmh kuna watu unajitoa muhanga. Bora awe amekupa mimba kuliko ukimwi.
 
dadA ushakosea hivyo usifanye kosa lingine,kuna vitu vinakuja katika maisha kwa muonekano mbaya kulingana na muda ulionao lakin badae huwa ni baraka katika maisha yako.na vitu vingine huwa vingine vinakuja kama baraka lakin badae huleta balaaa.SIRI ya mungu ni kubwa na kila kiumbe amekipa neema haijarishi una sali au hausal.na mara nying neema huwa zinakuja katika mazingira magumu
 
Kwann siku hiz hamtaki kutumia condom?
Ungetumia condom haya yote yasingetokea halafu dada yangu ulikosa mwanaume mpaka unamkubali huyo jamaa ambaye anawake? Mwanaume akikuambia ana mtu wake hapo ww hauna kitu yaan anafurahisha nafsi yake.
Dada yangu huyo jamaa wala usimlaumu hana kosa kbsa wala Mungu usimlaumu ni ww. Jilaumu ww mwenyew, mtu amekuambia ana mtu wake bado unampa kavu kavu.
Hakuna namna ila lea tu mtoto wala usifanye abortion.
Dada zangu ambao bado hamjazaa wala kuolewa usikubali kumbembea mwanaume mimba ambaye hana future na ww, hata akikuomba tumia condom au cheza na mzunguko wako ili usishike mimba. Mwanaume anayekupenda na mweny malengo na ww utamjua tu. Mnafurahi sana kuwa single mother?
Mnatesa sana watoto. Ila jamaa hana kosa utamsingizia bure tu, kukataa ni hiari yake na pia huenda anahic hiyo mimba sio yake lbd umembambikia. Sbb amekuambiwa mapenz halafu unamruhus apige kavu kavu tu. Km ww mwenyew hujijari nani atakujari?
Inamibi utulie dada yangu huyo mtoto anatosha km hatapatikana wa kukuoa usije fikisha watoto 3 kila mmoja na babake
 
pole.. usitoe plz... we achana nae nenda kaongee na mama ako vzr ukishajifungua mwachie mtoto urudi chuo, huyo bwana siku akikosa mtoto akajileta mtimue na bunduki
Atakosaji mtoto wakati ana kizazi?
Mm huwa naumia sana nikiona mwanamke kang'ang'ania sehemu ambapo hakuna love.
"mwanamke siku zote huwa anang'ang'ania sehemu ambapo hakuna upendo na penye upendo ndio hapataki''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom