Ushauri unahitajika tafadhali

Kiduku

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
478
73
wakuu naombeni ushauri

nilikua na msichana wangu (naweza kumwita mchumba) tulifikia hatua ya kutambulishana kwa

wazazi na kupata baraka zote, tulipanga kuanza taratibu za kupeleka mahari na katika kipindi cha zaidi ya miezi 7

hatukuwahi kufanya tendo la ndoa hadi mwanzoni mwa desemba 2011, tumeshiriki hilo tendo mara4 sasa

cha ajabu na kinachonifanya niandike hapa ni kitendo cha hivi majuzi wakati tuko kwenye game baada ya kuwa

tumepiga kinywaji cha kutosha demu alihamisha mtarimbo na kuupeleka rough road, nilikua muumini wa huo

mtandao kipindi cha nyuma lakini niliazimia kuuacha hivyo kwa kutumia uzoefu wangu niliendeleza game hadi

nikamaliza alifurahi sana akaomba turudie tena sasa jana kaja ghetto nikambana ni lini alianza hako kamchezo

hakunipa majibu ya maana zaidi ya kunituhumu na mimi kuwa ni mshirika wa mchezo husika, swali kwenu wadau ni

endelee nae ama nimpige chini sababu mapenzi nahisi yameanza kupungua nahisi kuna mtu atakua alimuanzishia

na ataendeleza.

zinaaa chafu chafu chafu nyie ni maibilisi na mashwetani wakubwa
hamna adabu
vijana acheni zinaa jamani
 
Wewe ulivyopewa mbona hukukata kama kweli uliacha? sema umepunguza lakini hukuacha,alowacha asingeendelea usituzuge, na kama umeshamchoka huyo mwanamke sema hiyo sio sababu yakumuacha kama una penda kweli,kaanae chini mweleza madhara ya mchezo huo.. kama sio muowaji bora mwambia ajipange mapema.....
 
wakuu naombeni ushauri

nilikua na msichana wangu (naweza kumwita mchumba) tulifikia hatua ya kutambulishana kwa

wazazi na kupata baraka zote, tulipanga kuanza taratibu za kupeleka mahari na katika kipindi cha zaidi ya miezi 7

hatukuwahi kufanya tendo la ndoa hadi mwanzoni mwa desemba 2011, tumeshiriki hilo tendo mara4 sasa

cha ajabu na kinachonifanya niandike hapa ni kitendo cha hivi majuzi wakati tuko kwenye game baada ya kuwa

tumepiga kinywaji cha kutosha demu alihamisha mtarimbo na kuupeleka rough road, nilikua muumini wa huo

mtandao kipindi cha nyuma lakini niliazimia kuuacha hivyo kwa kutumia uzoefu wangu niliendeleza game hadi

nikamaliza alifurahi sana akaomba turudie tena sasa jana kaja ghetto nikambana ni lini alianza hako kamchezo

hakunipa majibu ya maana zaidi ya kunituhumu na mimi kuwa ni mshirika wa mchezo husika, swali kwenu wadau ni

endelee nae ama nimpige chini sababu mapenzi nahisi yameanza kupungua nahisi kuna mtu atakua alimuanzishia

na ataendeleza.

nnachweza kusema ni 'WAPUMBAVU NYINYI' hapo wote mmekutana mna element za USHOGA.
 
uzoefu wote mnao,kwahiyo cha msingi endeleeni kuuboresha..........ila mambo ya rough road,kweli mnatisha..
 
Una bahati kweli kweli mana ukisha muoa huyo demu wako, hamna break yakwenda mwezini...Wewe unrusha tu rocket.
 
Nafikiri nyakati nyingine ndugu zangu tujaribu kumheshimu Mungu, hizi tabia chafu na matumizi mabaya yasiyo sahihi ya viungo hebu tuache jamani!
Nimechoka na hoja hizi zinavunja maadili ...
 
hapo unataka ushauri gani??? kama wewe ni mzinifu wa aina hiyo halafu bado unaendlea kwa nini ulikubali kuendelea kama uko serious?>
 
Unakosea sana,hata kama umekubali dhambi ya uzinzi basi ungetumia njia iliyo sahihi.Sasa hiyo tena kinyume cha maumbile ndipo unapomkosea zaidi Mungu wako.Halafu kama unatarajia huyo aje kuwa mkeo tegemea matatizo zaidi.Sphincter muscles za haja kubwa zitalegea atashindwa kusukuma mtoto wakati wa kuzaa pia haja kubwa itakua inatoka yu hata akiwa amekaa kwa sababu sphincter muscles kushney.
 
Siku nyingine uandike kichwa cha habari kinachoeleweka ili m2 ajue anachoenda kukisoma ndani ......back 2 the topic! inaelekea ulifaidi si mchezo. enhe nipe story ki2 kilikua kinabana au pwapwampwa.
POPOOOOO!
 
Sishindwi kusema nyinyi mmepungukiwa-:

KWANINI:
1.Nyinyi ni wachumba hamruhusiwi kufanya tendo hilo.

2.kutumia Rough road ni Roho za kuzimu we unatafuta nini huko?

Ushauri:
1.fanya TOBA kwa MUNGU MRUDIENI YESU wote ndo muendelee na mipango ya HARUSI.
 
Unataka ushauri gani tena hapo,wewe ulikuwa muumini ukaacha,yeye ni muumini.Kama ulivyosema kuna mtu alimuanzishia na ataendelea nae,wewe una uhakika utaweza kuacha kabisa?my take muoe huyo binti manake ukienda kwa mwingine ambaye hafanyi utamharibu siku moja afadhali huyo ambaye tayari mnaendana
 
ilishaandikwa utapata mke/mme wa aina/tabia yako... Huyohuyo usimuache... Cha msingi ni kuongea mkaamua mtaishije tuu... JE UNGEKUJA MGUNDUA MSHAOANA TAYARI JE UNGEMUACHA???.. Kaswali kakizushi.. ''chumba kilinuka inye eeeh???''
 
Wala usimuache, unashangaa yeye kuna mtu kamuanzisha, mbina na wewe kuna mtu ulianza nae, wote mko sawa, inatakiwa mkae chini mjadili kama kuacha au la, hauna haja kujua ninani alimuanzisha kwakuwa na wewe hautakuwa tayari kusema ni wangapi uliwaanzisha. sasa kama hutaki kula hiyo kitu je akitaka akaenda kwa mwingine?
 
Kama mnataka kufunga ndoa inabidi iyo ndoa mkafungie kuzimu hamfai kanisani wala msikitini
 
we ni popobawa, mzinzi,firauni, huna hata haya,mla tigo mkubwa wewe, agent wa shetani, na ulaaaniwe wewe na maungo yako yote pamoja na huyu mliwa tigo mwenzako.nyambafu.
 
una tatizo,unaonekana unaamini kwamba mwanamke anayefanya huo mchezo hana thamani tena na hafai kuolewa, hata hao ulokuwa ukiwafanyia ulikuwa unaishia kutowathamini.ndiomana hat huyo sasa umemshusha thamani.
Ushauri wngu, muoe huyohuyo lkn mkubaliane kuacha.7bu hata ukimuacha ukamuoa mwingine bado hutakuwa na uhakika kam huyo nae anafanyaga.na hata kama hafanyagi utaenda nje kuwatafuta hao ili ufannye nao huo mchezo maana inaonekana kwako bado ni vigumu kuacha. kumuacha huyo binti sio solusheni ya tatizo kwako wala kwake
 
Back
Top Bottom