Ushauri: Ukiona umependwa ghafla

MINAKI

Member
Nov 11, 2010
47
24
Ukiona umependwa ghafla, ujue kuna mtu kaachwa na faraja inatafutwa.

Kuwa makini tafadhali
 
Ni kweli halafu umeamua kuja kutoa thread.e?ulivyonipigia asubuhi nilijua tu umetemwa na bahatii nzuri i never turn back
 
watu tumetofautiana sana. mimi nikitemwa/tema faraja yangu ni kuwa alone kwa kipindi fulani nikifanya analysis ya past relationship. wapi palikuwa poa, wapi tulichemsha, wapi palitakiwa kuwaje, nk nk nk......... ili nikianza tena nijue naingiaje
 
Hahahaaaa! Mi upendo wa mda mrefu bila kuambiwa ndo siutaki, ni dalili za kumiliki ZOMBIII! Ghafla ndo safi full of surprises, sio mtu anakuzoea MWAKA afu ndo anakuja kusema ujue NAKUPENDAGA!!!!
 
Hahahaaaa! Mi upendo wa mda mrefu bila kuambiwa ndo siutaki, ni dalili za kumiliki ZOMBIII! Ghafla ndo safi full of surprises, sio mtu anakuzoea MWAKA afu ndo anakuja kusema ujue NAKUPENDAGA!!!!

wafaa kuwa KUNGWI
 
this is applicable to the lady....sisi wengine ni bandika bandua mkuu...
 
Duh..hii hutegemea..wkati mwingne inawezekana kuna faraja inatafutwa..au ikawa ni upendo wa kweli!!
 
Really? Sasa utajuaje mwenzako katemwa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
unamaanisha love at first sight au?

hapana, naweza nikawa nilikupenda tu nilivyokuona kwa mara ya kwanza lakini ikapita mwaka ndio nikapata bahati ya kukueleza.. hapo sio gafla kama mdau anavyosema..
 
Je wake/waume za watu wanapopenda watu wengine gafla huku wakiendelea na ndoa zao hiyo imekaaje?
 
ndo ilivyo ukiona umependwa ujue kuna mtu kaachwa na ukiona umeachwa ujue kuna mtu kapendwa somewhere
 
Back
Top Bottom