USHAURI:Toyota Sienta

gudJohnson

Member
Aug 24, 2015
33
54
Habari wanajamvi, naomba ushauri na maelezo juu ya gari tajwa hapo juu (Toyota Sienta) ..... changamoto zake, uzuri, ulaji wa mafuta na maelezo yoyote juu ya hii gari. Asanteni
 
yaani ningekuwa nauwezo ningeshauri watu tununue sana magari ya europe ni mazuri sana wakuu hata spea zake sio gari kama tunavyopigwa na kuaminishwa.then yana dumu sana na yanafaida nyingi sana hata ukitaka kuya tune na kuyafanyia mapping ili yawe yana nusa mafuta ni rahisi tofauti na gari za asia.
 
Ni swala la ladha tu.
Lakini brand za europe nichache unavuka nazo km 100,000 ila za japan unafika nazo hata 300 000.
 
yaani ningekuwa nauwezo ningeshauri watu tununue sana magari ya europe ni mazuri sana wakuu hata spea zake sio gari kama tunavyopigwa na kuaminishwa.then yana dumu sana na yanafaida nyingi sana hata ukitaka kuya tune na kuyafanyia mapping ili yawe yana nusa mafuta ni rahisi tofauti na gari za asia.
Ngoja nitafute Volkswagen Polo moja matata
 
yaani ningekuwa nauwezo ningeshauri watu tununue sana magari ya europe ni mazuri sana wakuu hata spea zake sio gari kama tunavyopigwa na kuaminishwa.then yana dumu sana na yanafaida nyingi sana hata ukitaka kuya tune na kuyafanyia mapping ili yawe yana nusa mafuta ni rahisi tofauti na gari za asia.
Shida iko kwenye vipuli. Kupata vipuli ni bei juu na utatakuwa uagize nje ya nchi.
 
yaani ningekuwa nauwezo ningeshauri watu tununue sana magari ya europe ni mazuri sana wakuu hata spea zake sio gari kama tunavyopigwa na kuaminishwa.then yana dumu sana na yanafaida nyingi sana hata ukitaka kuya tune na kuyafanyia mapping ili yawe yana nusa mafuta ni rahisi tofauti na gari za asia.
gari=ghali.Niliyumba kidogo,asante kwa ushauri wa kiyakinifu
 
Back
Top Bottom