Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

Habarini wandugu?.

Naombeni mnisaidie nini cha kufanya kuhusiana na hili tatizo.

Kikohozi sugu kibichi kinamsumbua sana mdogo wangu.

Mwaka wa tatu sasa!
 
Habarini wandugu?.

Naombeni mnisaidie nini cha kufanya kuhusiana na hili tatizo.

Kikohozi sugu kibichi kinamsumbua sana mdogo wangu.

Mwaka wa tatu sasa!
chukua tangawizi vichanja viwili ponda upate majimaji yake na uyachanganye na yai moja la kienyeji ila unachukua kile kiini tu cha ndani.magadi.limao na asali kijiko cha chai then changanya huo mchanganyiko utakuwa unalamba asubuhi na jioni kila cku hakikisha unatengeneza kila siku trust me ni dawa nzur xana utapona.
 
duuu pole sana dada yangu lkn nadhani bado hujafanya vipimo stahiki ambavyo vinaweza saidia wewe kujua tatizo la ugonjwa wako mimi nakushauri kwanza achana na hizo dawa ulizo ambiwa kutumia kama hukuwahi kufanya vipimo hivi fanya kwanza
'1.chest xray
2 FBP-full blood picture
then baada ya majibu ya vipimo hivyo tunaweza sasa tukaenda beyond mfano chest ct scan nk nk
pole sana
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi kisicholainika kwa muda wa zaidi ya wiki moja nimepima TB Sina, ila hakiishi kinakuwa kigumu sana.

Naombeni msaada kwa anayejua tiba asanteni.
 
Kwanza kapime hospitalini ili ujue unaumwa nini kwanza ,pili ukikuta ni kikohozi tu nenda kwa sharif hapo ilala bungoni ununue dawa inamaliza everything
 
minyoo sometime, unaweza kunywa dawa zote zakikohozi na antibiotic lakini ukimeza dawa minyoo unakua poa.
 
Habari wakuu,

Madokta wa humu ndani naombeni ushauri ni dawa gani kiboko ya mafua, maana nna siku 4 sina raha hasa usiku ila asubuhi na mchana nadunda tu kama sie mgonjwa vile .

Na hii imekuwa kawaida yangu huwa nikiumwa asubuhi na mchana niko fit ila ikifika saa 12 jioni hali hubadlika naanza kusikia bardi mwili hudhoofika.

Kama vipi na hili nidadavulieni ni hali ya kawaida tu ama vipi? lakini hunitokea wakati naumwa tu iwe malaria,homa n.k nikiwa siumwi hiyo mida nakuaga fit tu.

Karibuni.
 
Habari wadau!! Nna ndugu yangu ana sumbuliwa na kikohozi kwa muda mrefu.kapima TB hana
Ni kikohozi kikavu

Msaada nn atumie au nani amuone kwa msaada wa matibabu??
 
Dear Doctor.
Mimi ninatatizo la kifua kuuma wakati Wa baridi yani kifua kinauma kama kwamba kuna vidonda kifuani na hili tatizo Lilian za mwaka jana, Naomba ushauri wako ni dawa ipi nitumie ili niondokane na hili tatizo? Umri wangu ni miaka 26
 
Dear Doctor.
Mimi ninatatizo la kifua kuuma wakati Wa baridi yani kifua kinauma kama kwamba kuna vidonda kifuani na hili tatizo Lilian za mwaka jana, Naomba ushauri wako ni dawa ipi nitumie ili niondokane na hili tatizo? Umri wangu ni miaka 26
Ulishawahi kwenda kwenda hospital kwa matibabu?_
 
Back
Top Bottom