Ushauri tafadhari!!!!!!!

hakuna tatizo hapo
gf wako ni muajiriwa
kwa hiyo majukumu yake ni ya kuajiriwa zaidi....

mwenye duka anaweza kabisa kuamka vibaya na kuwa amenuniana na mkewe
kwa mambo yao binafsi.....

hivyo anamtumia huyo muajiriwa ili kazi ziende

huyo gf wako hata akiacha kazi...akiajiriwa mwingine hali itabaki hivyo hivyo...

mwenye duka anajua mkewe ni 'mtumiaji wa hovyo wa pesa'
na hawezi kumdhibiti kirahisi kwa hiyo anatumia huyo 'muajiriwa' kwa hilo...

Hapo umemaliza kabisa... Its very true
 
khaa! hapa labda ungenijibu maswali yangu hivi unaonaje ukimruhusu huyu binti aingie humu jamvini na ID yako ili nimuulize yeye maswali yangu? manake kwa uelewa wangu maswal yangu huna majibu nayo. so sina msaada kwa sasa.
 
Yeye Ni Mmalaw Na Hajui kiswahl wala Mambo Ya JF
 
gfsonwin
Kwa Hyo Ndo Unapta Mkuu?
Tafadhar Toa Japo 1 tu Ulilonalo!
 
Hapa kuna kitu haukifahamu kuhusu gf wako! Vuta subira utakuja kutwambia mwenyewe
 
mulika mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hii Ishu Kanitonya Yeye Mwenyewe Na Wala Mimi ckuijua Na Akasema Labda Awe Anazma Cm pind 2 Anapohs Jamaa Anataka Kusafr
Mi Nkasema Haitasaidia zaid Ya Kujiongezea Kes Kazn
 
Kwani mawasiliano yao si kuhusu kazi? Kama ni kuhusu kazi tatizo lipo wapi? Kama ni mawasiliano nje ya kazi then ndo kuna tatizo
 
yaweza kuwa defensive mechanism, ndio maana nakuambia mulika mwizi, maana yangu ni ufanye uchunguz binafsi ujue ukweli wa jambo uko wap,,

Mawasiliano Yao Ni Kazn 2
Kwan cjawah Kushuhudia Kuwasiliana Nae Hata 2kiwa Out!
 
yaweza kuwa defensive mechanism, ndio maana nakuambia mulika mwizi, maana yangu ni ufanye uchunguz binafsi ujue ukweli wa jambo uko wap,,

Ingawa Sasa Kibao Kimenigeukia Mim
Poa Nitafanya Kama Ulivyonishaur.!
Asante mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom