ushauri tafadhali

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
mmeakaje wanajamvi, me pouwa kabisa.
Iko hiv.Emma na Anna wamepishana mwaka 1 kiumr yan km Emma ana 28 Anna atakuwa na 27yrs.hawa wa2 waliwah kuwa wapenz bt kwa muda mfupi na kwa siri sana ambapo wazaz na watu asilimia kubwa hawakujua.miaka imepita Anna akakutana na baba yake mdogo na Emma lakin mkoa tofaut bila Anna kujua kuwa Mr. X ni baba yake mdogo na emma. bas wakadate na hv sasa mr.x anamwambia anna kuwa anataka kumuoa.anna kuchunguza anagundua mr.x ni babake mdogo Emma. je avunje uchumba???
 
anatakiwa aachane na huo uchumba kwani hautakuwa na maana yoyote na utamletea matatizo mbeleni
 
Kwa nini? Mi naona waendelee tu na Mungu akiwajalia waoane. Mapenzi ya jinsia moja waliyofanya bila shaka ulikuwa ni utoto tu.
 
kijana akija kugundua wameshare na baba yake itakuwa ni ngumu kubebeka , na pia binti mwenyewe lazima apime si kupimiwa..
 
Kwa nini? Mi naona waendelee tu na Mungu akiwajalia waoane. Mapenzi ya jinsia moja waliyofanya bila shaka ulikuwa ni utoto tu.

Sijakuelewa, hayo mapenzi ya jinsia moja yametoka wapi? Nilivyoelewa mimi Emma ni Emmanuel..
 
Kwa nini? Mi naona waendelee tu na Mungu akiwajalia waoane. Mapenzi ya jinsia moja waliyofanya bila shaka ulikuwa ni utoto tu.
bishanga umechanganya emma<male> na anna .then hivi mimi nikute watoto wa miaka 10 wavulana mmoja anampumulia mwenzake kisogoni hapo kuna ujinga wa kitoto kweli.teh teh ni upepo unawapitia wa akil za kitoto
 
Kwa nini? Mi naona waendelee tu na Mungu akiwajalia waoane. Mapenzi ya jinsia moja waliyofanya bila shaka ulikuwa ni utoto tu.

hv una hangover au? jinsia 1 imetoka wapi? emma ni emanuel au macho yako yana kengeza umedhan emmy?
 
Kama ba mdogo kasha pewa kipochi manyoya huyo dada avunje mahusiano na emma .cku mshikaji akija kujua ukweli patakuwa hapatoshi
 
mmeakaje wanajamvi, me pouwa kabisa.
Iko hiv.Emma na Anna wamepishana mwaka 1 kiumr yan km Emma ana 28 Anna atakuwa na 27yrs.hawa wa2 waliwah kuwa wapenz bt kwa muda mfupi na kwa siri sana ambapo wazaz na watu asilimia kubwa hawakujua.miaka imepita Anna akakutana na baba yake mdogo na Emma lakin mkoa tofaut bila Anna kujua kuwa Mr. X ni baba yake mdogo na emma. bas wakadate na hv sasa mr.x anamwambia anna kuwa anataka kumuoa.anna kuchunguza anagundua mr.x ni babake mdogo Emma. je avunje uchumba???

My ex...Ni hivi kwa hiyo red ndiyo ihalalishe mahusiano mapya ya mtu na baba yake..hata kama mahusiano yalikuwa siri lakini yalikuwapo....No
 
as long as now binti anampenda ba mdogo na wanapendana kwelikwel ni heri akaendelea kuwa nae! Kijana akijua atakasrka but hasira zake hazitakaa milele! Ipo siku ambayo atakubaliana na ukweli 2! Na mambo yote yatakuwa sawa! Sababu vyovyote vle itakavyokuwa tayari keshawachanganya!
 
mmeakaje wanajamvi, me pouwa kabisa.

Iko hiv.Emma na Anna wamepishana mwaka 1 kiumr yan km Emma ana 28 Anna atakuwa na 27yrs.hawa wa2 waliwah kuwa wapenz bt kwa muda mfupi na kwa siri sana ambapo wazaz na watu asilimia kubwa hawakujua.miaka imepita Anna akakutana na baba yake mdogo na Emma lakin mkoa tofaut bila Anna kujua kuwa Mr. X ni baba yake mdogo na emma. bas wakadate na hv sasa mr.x anamwambia anna kuwa anataka kumuoa.anna kuchunguza anagundua mr.x ni babake mdogo Emma. je avunje uchumba???

Avunye ndio!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom