Ushauri tafadhali

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Hongereni kwa kazi wadau.

Nina mtanganyika mwenzangu yuko USA kimasomo. Katika muda wake huko angependa kufanya biashara ya vitu mbalimbali na watanganyika tulioko huku. Yupo kihalali huko na ana mikataba na maduka na makampuni yanayozalisha na kuuza bidhaa mbalimbali kama vifaa vya electroniki, kompyuta, nguo na vinginevyo.

SWALI: - Kwa wenye ufahamu, hali ya soko la aina hii ya bishara ikoje?
- Changamoto kubwa katika aina hii ya biashara ni nini?

Nawakalisha na ahsanteni
 
wataalam wa hii biashara watakuja muda si mrefu, i wish you all the best mkuu

mkijipanga mtafanikiwa ...market ya quality product ipo kubwa

trust will be the key to success
 
wataalam wa hii biashara watakuja muda si mrefu, i wish you all the best mkuu

mkijipanga mtafanikiwa ...market ya quality product ipo kubwa

trust will be the key to success

jinobluu.. masaa karibu kumi hamna jembe litakalomwaga mafikra.. duh!?
 
Back
Top Bottom