mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 291
Usisahau na starletoff all the list, hakuna gari apo. chukua toyota corrola,sprinter au Corsa. (cc 1300)
Usisahau na starletoff all the list, hakuna gari apo. chukua toyota corrola,sprinter au Corsa. (cc 1300)
Duet sio kimeo ila inahitaji matunzo na umakini zaidiusijalibu duet, bonge ya kimeo.
Ist ni gari nzuri,iko comfortable but not spacious. Spea zinaingiliana na Vitz,Funcargo tofauti ni milango,taa na vioo.wote mmetoa ushauri mzuri. Vipi kuna wataalamu wa IST? zikoje services zake na ulaji wa mafuta? je uimara?
Kaka ram mi nataka Toyota Rav 4 kipisi, nakizimia sana hebu nipe mchanganuo wake
Passo bush za mbele moja 80-100K. Na zipo 6 so ujipange kidogo.Mkuu heri ununue Toyota passo
Chukua Raum na kama ni Vista isiwe D4 engineWakuu kati ya Toyota Vista na Raum ni ipi haina usumbufu sana kwa mmiliki wa kawaida let say kwa anayeanza kumiliki kwa mara ya kwanza
Cami ni nzuri sana ila spea ziko juu sana na hata mafundi wake ni wakubahatisha, pia inakula wese..Jamani Toyota Cami je
Je ikiwa na cc ndogo kama 1300ccCami ni nzuri sana ila spea ziko juu sana na hata mafundi wake ni wakubahatisha, pia inakula wese..
sawa mkuuTafuta Toyota Carina ni bonge la gari kwa kuanzia maisha
uko vizuri RamthodsLet me correct your post.
Hakuna engine ya FE au SE. FE na SE ni features za engine husika.
SE inamaanisha Direct Injection,
FE ina maanisha Economy Narrow Angle Double Over Head Camshaft with Electronic Injection
Kwa mfano Toyota RAV4 yenye engine ya 3S-FE inamaanisha:
3rd Generation of S engine Block with FE features (nimezitaja hapo juu).
Toyota RunX and Toyota Allex zote ni Corrolla (Actually, Allex ni Corolla Sprinter).
Toyota IST ni platfrom ya toyota Vitz.
Zote hivi tatu ninatumia engine ya 1NZ-FE VVT-i 1500cc
RamthodsVipi jamani kuhusu Toyota spacio new model zikoje uimara wako na ulaji wa wese
Gari zote nzuri sema Tanzania Tuna tatizo la barabara ndio zina haribu magariTafadhali naombeni ushauri kwa wote wanaomiliki au waliowahi kumiliki moja kati ya gari hizi: Toyota Vitz, Toyota Duet, Toyota Allex, Toyota RunX na Suzuki Swift.
Nataka kununua gari yenye injini ndogo ( 1- 1.3 litres) na ningependa kupata uzoefu juu ya uimara wa magari haya, upatikanaji wa vipuri (spare parts) na maelezo mengine kiujumla.
Natanguliza shukrani zangu.
Aise sipendi watu wanaomislead watu mtu anandika kwa ujasiri kabisa kumbe upotoshajiLet me correct your post.