Ushauri tafadhali nataka kulinda ndoa, kazi kikwazo kikubwa

1.Niko Mbeya Mkuu,
2.kazi zetu wote zina security ila yake ina kibano zaidi kwa kuwa mwajiri anamlipia ada ya Masters so lazima atumikie miaka mitano na hakuna ofisi zingine huku mkoani,
3. Yeye ana nafasi zaidi hasa baada ya kupata shahada ya Pili lakini atatakiwa kumtumikia mwajiri wa sasa miaka 5
Tafuta mkopo umsomeshe wewe ili awe huru kuhamia kwako baada ya kumaliza chuo.
 
Nianze kwa kuwapa pole na kumwomba Mungu Awaongoze ktk njia sahihi ya kutatua tatizo lenu.

Kumbuka: Ndoa ni wito na ushirika ndio maana sio wote ni wanandoa!
Maisha ya ndoa si lelemama yana matatizo mengi (kama hilo lako), sio majaribio kwa wakristu ukifunga imefungwa.

Ingawa ni jukumu le2 kufanya kazi kwa bidii ili 2pate kipato kitakachotuwezesha kujikimu LAKINI
Kama kweli unataka kuyaishi maisha yako ya ndoa kikamilifu, Nakushauri Ndoa kwanza Kazi baadaye!

Kumbuka maisha ya furaha huleta raha ya nafsi
Hata uwe na pesa vipi! kama huna raha ni kazi bure
Ni bora unenepe bila kula kuliko kula bila kunenepa

Maisha ya ndoa yanahitaji msingi wa kubeba uzito wa ndoa na nguzo za kuimarisha ndoa.Msingi ukiwa siyo imara na nguzo zikiwa mbovu, ndoa haiwezi kudumu kwa muda mrefu. Ni jukumu la wanandoa, kujenga msingi imara na kutumia nguzo bora za kuunda na kutunza ndoa zao. Haki na Wajibu ndio msingi wa ndoa yoyote.Kama wewe ni Mkristu soma: 1Kor:7 ,Ni wajibu wa kila mmoja aliye ndani ya ndoa kuhakikisha anamtimizia mwenzake haki yake, pia Haki yenu ni kushirikishana ktk kila kitu ktk maisha yenu yote kama mlivyoapa.Mpe mwenzio kiukamilifu haki yake. Kumbuka kuachana sio lengo la ndoa na sio mpango wa Mungu.

Usiridhike na hali uliyonayo kwani ikiendelea zaidi inaweza kuwasababishia migogoro ktk ndoa yenu, sbs kuu ikiwa ni UMBALI unaowafanya mshindwe kutimiza msingi imara wa ndoa ambao ni kuambatana na kuwa mwili mmoja.

Kwa upande wangu nakushauri yafuatayo;

Salini mara nyingi (muombeane ili vishawishi viwapitie mbali).
Dumisheni mawasiliano kwa lengo la kufarijiana.
Amueni pamoja na kwa ujasiri kwa kile mnachokiona kitanusuru ndoa yenu na kuwarejeshea hali yenu ya kuishi pamoja,Asikudanganye mtu NDOA NI TENDO LA NDOA,mengine yanafuata kama kweli mnapendana na mmeamua kuishi pamoja milele.
Epuka na kuwa makini na watu wako wa karibu hasa huyo Boss wako anayekutolea maneno ya kukukatisha tamaa, na kamwe usikate tamaa ona kama ni jaribu la kupita tu.(kumbuka sio kila m2 anafurahia ndoa yenu)
Mwisho, kumbuka atafutaye hachoki......hivyo endelea kuwaomba wakuhamishe kituo naamini watakutimizia kwa kadri ya maombi yako wasisitize bila kukata tamaa, lakini pia huku ukiwa unatafuta kazi nyingine na Mungu awatangulie kwa yote .

Mkuu, umeongea maneno ya ukweli, mazito na yenye maana kubwa kwa wanandoa. Barikiwa.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Dah! Pole sana Mkuu, hata sijui nikushauri nini hasa ukitilia maanani ugumu wa kupata ajira nyingine.
 
Dah asante sana Mkuu wangu! Halafu samahani Mkuu wewe ni Mchungaji? Naona umenena mambo mazito sana hapa na kweli nikiri tu kwamba umenisaidia sana kunipa direction ambayo itaniwezesha at last niweze kuungana na familia yangu. Mungu akutangulie na wewe katika mahangaiko yako
 
Tafuta mkopo umsomeshe wewe ili awe huru kuhamia kwako baada ya kumaliza chuo.
Asante sana kwa ushauri mzuri. Bahati mbay au nzuri tayari mwajiri wake ameshamgharimia. Labda tufanye mpango wa kurudisha hizo gharama jambo nadhani linawezekana kabisa
 
Dah asante sana Mkuu wangu! Halafu samahani Mkuu wewe ni Mchungaji? Naona umenena mambo mazito sana hapa na kweli nikiri tu kwamba umenisaidia sana kunipa direction ambayo itaniwezesha at last niweze kuungana na familia yangu. Mungu akutangulie na wewe katika mahangaiko yako

Hapana! Mimi sio Mchungaji, ila nimeguswa na tatizo lako, nikaona niku-brief kidogo kwa jinsi ninavyolielewa suala nyeti la Ndoa! Thanks in advance kama mistari yangu itakusaidia. Nitafurah kuckia mmefanikiwa kwani NDOA NI FAMILIA YA WAWILI (Hivyo kuishi mbali kunaondoa uhalisia wake hasa mbele ya Mungu), NA FAMILIA YENYE FURAHA HULETA MAFANIKIO! Stay blessed!
 
Pole sana ndugu...hayo mambo yanawakuta wengi hata mm nmuathirika wa tatizo hilo...ila nnachoweza kukushaur n kwamba kama vijana n mda wakutafuta maisha endelea kupiga kaz huku ukitahid kufanya jitihada za kutafuta kaz lakn usiache ipo siku moja mambo yatakaa sawa hasa ule wakat Mungu amekupangia ( God's time is always the best time)jitahid muwekeze sehem moja na mnapopata nafas muendelee kutembeleana ili mkitiana moyo kwamba ipo siku Mungu atawafanyia wepes katika hilo.Piga kaz huwez jua mpango wa Mungu juu ya maisha yenu.msikate tamaa pia kaz siku hiz n changamoto sana Hakuna kaz aisee.Mm nmetafuta mpaka bas ili niungane na familia yangu lakin holaaa.Wakat wa ujana n i wakat wakupiga kaz piga kaz ipo siku mtafanikiwa kuwa pamoja kama Mpango wa Mungu unavyotaka.Pole
 
1. tuliza akili yako usidanganyike ukaacha kazi kwa ajili ya kumfuata mwenzio.....ni kosa kubwa sana la kiufundi.hata yeye asiache kukufuata.fikiri kwa makini mfano unatoa notice,unaenda unamfumania,au ana mimba isiyo yako,kazi huna na mke huna.
2.msumbue mwajiri kila siku,kuna siku ataelewa.kama boss wako hataki waone wakubwa zake.usitangulize haiwezekani
3.umbali peke yake hauhatarishi ndoa,kuna hatari kibao hata kama mko ofisi moja na mkeo.
Umemaliza Mkuu, kuacha kazi watu wanabadilika sana usitegemee binadamu ni udhaifu.
 
Back
Top Bottom