Ushauri: Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe

Aishah2016

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,225
2,482
Habari wana JF,

Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa

Kwakweli anahitaji ushauri na maombi yenu, maana hayuko sawa kabisa.

Ushauri wenu ni kitu cha muhimu kwa sasa.
 
Duh tatizo ni hawa wanaume wenu "suruali"! No backbone at all !!!! Sasa Kithembe ni kitu cha kukubali mama yako avuruge uhusiano na mtarajiwa wako kweli......Arrgrrrrrr?? Mi ndio maana nawaambiaga hawa viumbe...My job was to impress you. The responsibility to convince your family why me hilo ni zigo lako!!
 
Hahaha eti wanaume suruali
 
Habari wana JF,

Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa

Kwakweli anahitaji ushauri na maombi yenu, maana hayuko sawa kabisa.

Ushauri wenu ni kitu cha muhimu kwa sasa.
Aishah2016 pole sana mbona kama ni wewe hivi unazungumza? lakini hebu jaribu kufatilia hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukataliwa na Mama mkwe....
 
Habari wana JF,

Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa

Kwakweli anahitaji ushauri na maombi yenu, maana hayuko sawa kabisa.

Ushauri wenu ni kitu cha muhimu kwa sasa.
Kwani mama mkwe ndio anaidhinisha watu kuishi wawili?

Yeye anatambulishwa tu mengine sio kazi yake
 
Muda mwingine ukweli tuukubali wanawake tuna visirani
Huyo mama mkwe ana kisirani asee!

Huyo mdada aliyekataliwa na mkwe Mungu amsaidie tu aweze kuyapita haya machungu
Naww ujue mama yangu kakukataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom