Ushauri please.

Nduka... nikisoma post kama hizi... I feel for my son, kwamba mnashindwa kabisa kuheshimu dada/mama zenu hata kwa kauli... Ni kweli kua siio woote ambao wapo katika mahusiano wapendana; but hata hivo kunakuwepo na heshima. Mwanaume once in a while sio mbaya ukiwa a gentleman once in a while... Kwamba ukipost kuonesha you do not have feelings for her na kwamba wala hata umzimikii ndio kuonesha kua wewe ni Mwanaume kweli? Kueni na staha jamani, kuweni wastaarab kidogo... wafundisheni na wadogo zenu wakiume how to be Men! Kwa this attidude ndio maana wanaume wa Kweli wanapungua katika jamii.... mna overestimate sana your power in all aspects hasa in relation na Wanawake....

:focus:

Kitendo cha wewe kuanza kua na wasi na kutafuta njia ya kuepusha na kuhakikisha kua asikuzoe saana inaonesha you care for her (as much as your post is king of vulgar). Ta
bia hizo za kutochukulia mwenza wako serious ni kweli zipo, but wajanja wenzio wanajua ni age zipi za kumess up akili ya binti/dada ili isije leta matatizo baadae. Hivo in this case maybe jaribu kukaa nae na uoneshe msimamo wako ni upi ndani ya the relatiionship... yeye achague kusuka ama kunyoa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom