ushauri please - nani mwenye kosa

Wow touching!
Wote mna makosa kwa pande zote dear!
Wewe:upo sawa but haupo sawa kwake,na kwako kwa kiasi fulani.Ok ye aje aendeleze what u've started with ur own hands au mayb ur ex alikupa taf,o watever! Kwa mwanaume yyte timamu haimek sense! Lazima inferiority complex ihusike! Then cku akachange na kutake everythn in the name of Love?ok cku haupo kimwili,urkids watakuwa safe?coz 4 2yrz isnt enaf kujua if anawapenda wanao the way u wanted,au wewe wakwake! Msiwe selfish mkawaharibia madogo future zao mamii! Hebu Think twice.
Yeye:mjamaa hajiamin,hana msimamo na kama bado anajishauri kwako ivi,coz kama tatizo ni kaz na hv hana miradi zaid ya salary,angejaribu kuangalia marambil! umuhimu wa mawasiliano na kuwa karibu ktk mapenz na akaamua moja,kwa future yenu nafamily!
Then kama ulivoshauriwa apo juu,em mpime na umulize upepo wake unaelekea wapi,i min anampango gan lbda apart from kuajiriwa,anapenda nin.mulize taratib.kama kwel anakupenda atakupa jb la uhakika.but ucmpe Mamlaka na miradi yako,usije kukosa hata choz la kulia! Anzisheni yenu,na watoto wote watambue ilo..wish u lucky! Though kibongobongo,ngum kidogo


Kama unadhani kwamba huyo mwanamume ni dhaifu au ana inferiority complex basi mie nakwambia kwamba huyu mwanamume ni tough kuliko unavyodhani..

Mwanamume wa kweli hata akipenda vipi hawezi kukubali akili yake iende likizo...


I admire the man!

Babu DC!!
 
Kama unadhani kwamba huyo mwanamume ni dhaifu au ana inferiority complex basi mie nakwambia kwamba huyu mwanamume ni tough kuliko unavyodhani..

Mwanamume wa kweli hata akipenda vipi hawezi kukubali akili yake iende likizo...


I admire the man!

Babu DC!!

hujanielewa babu dc,inferiority kwamba,kwa mwanaume timamu kuendesha biashara za mkewe hawez kuwa confortble withat,coz mf.ikatokea loss,bibie akashout kdgo,jamaa atajifil aje?lazma aone ok,ts bcoz yakwake labda!
 
Babu DC,i don't think i agree with u,mwanaume unapokutana na mwanamke mwenye hela haiondoi uanaume wako na haiondoi wewe kuwa kichwa cha familia,hata kama yeye ndo mtoa fungu la familia 80% at that time!Kwa sababu familia sio biashara ambayo mwenye hisa ndo mwenye nguvu kwenye maamuzi!Familia ni taasisi yenye taratibu zake tofauti,i don't care dunia inamtazamo gani,what i care ni kuwa ,ninapokuwa kwenye familia mimi ni nani na ninatakiwa niisimamie nafasi yangu kikamilifu bila kujali nani ana nini.Pia kama una mahusiano na mtu inamaana unamuamini so hutakua na wasiwasi,utakua unachekesha kama utakua unadai uko kwenye uhusino na mtu wakati humuamini,uhusiano utakufa tu,kama huu unavyoweweseka.Mnapoaminiana hata maendeleo mtapata.Mnapoamua mmoja aache kazi kwaajili ya miradi ya familia halafu ukajiuliza "huyu si atanidharau?"ujue hakuna kuaminiana hapo,na kama hamuaminiani mahusiano yatakufa.Halafu huyu jamaa si atasimamia hii miradi kwa muda kisha atapata kazi yake ya kufanya?Kwa upande wangu huyu jamaa ana matatizo!
 
nashukuru wote kwa ushauri wenu. lakini kama nilivyosema mwanzo, mimi sio mwandishi mzuri. huyu jamaa pamoja na kuwa kazi anayofanya haimlipi vizuri lakini yeye pia ana biashara zake ambazo ziko niliko mimi na zinasimamiwa na nbdugu yake kiasi pesa yake hainonekani. mimi nashindwa kuingilia sana maana sijahalalishwa. hivyo nahisi angehamianilipo mimi hata faida ya hiyo miradi ingeonekana. ana nyumba pia huku ambayo wanakaa ndugu zake. pamoja ya mimi kumzidi kipato lakini ninavyoishi nae huwezi kujua. yeye ni mkubwa kwangu on everything. vitu vingi nikifanya lazima nimhusishe. labda yeye ananificha vya kwake siwezi kujua, lakini mimi niko open on everything. kama mmoja alivyosema hapa maybe, anahisi nimemzidi hivyo hatuwezi kua sawa, lakini mimi simchukulii hivyo, siku zote he feels he earns more on everything kwa jinsi tunavyoishi. NI bora yeye aache kazi maana mshahara anaopata ni mdogo sana, na kampuni afanyayo haina ubinadamu. mimi kwangu at least hawatulipi vibaya, wanatujali. anyway, ngoja nitafanyia kazi comments zenu, zile zinazofaa nione itakuaje. asanteni.
 
Neema, naomba unitafutie basi wewe mtaalam lakini tupendane kama huyu niliye nae, maana mimi wala sijui wanatafutiwa wapi.
Yeye kua na watoto wala sio tatizo kwangu maana hata mimi nina wangu, and I love kids.

tafuta mwanaume mwingine....mwanaume sio huyo huyo,kwanza ana watoto wa kuwafikiria kisha na distance kati yenu...sioni kama ni ideal match,kwa nini ung'anganie uhusiano mfu kama huuu...uko desperate kiasi hiko???tafuta mwanaume mwingine ktk mji unaoishi na pia tafuta ambaye hana commitments za watoto,mke etc.....
 
  1. hata ningekua mimi nisingeacha kazi kwa sababu yako cz unaweza badilika baadae.
  2. nina watoto wanaonitegemea, ni bora nisumbuke kw hiki kidogo nilichonancho ila wawe na uhakika wa kusoma na nk.kama. wewe unaonatofauti ya vipato vyenu na miradi yako, na kwa jinsi ulivyoiandika hiyo thread yako inaonesha unataka ndoa tu cz muda umeenda.
  3. bora huyo mtu akupotezee kwa amani yake, tafuta mtu mwingine.
 
Neema, naomba unitafutie basi wewe mtaalam lakini tupendane kama huyu niliye nae, maana mimi wala sijui wanatafutiwa wapi.
Yeye kua na watoto wala sio tatizo kwangu maana hata mimi nina wangu, and I love kids.

Unahangaika nini?Hebu ni PM machungu yako yaishe!
 
Wewe kama umempanda mvumilie tu, afu kwanini wewe usimfate kule kwani huwezi kupata kazi kule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom