Ushauri please, mke wangu simuelewi, nimemkuta anasagana na mama yake

Kama ulivyosema NDOA yenu ni ya KANISA cha kufanya tafuta wataalamu wa saikolojia uwapatie wote ili waachane na hiyo tabia ambayo hata imani za kanisa haipendelei. Ikishindikana rudi kanisani na ushuhuda uliokamilika kanisa litajua la kufanya.
Asante mkuu
 
daah mkuu hilo jaribu lako ni zito sana aisee... binti na mama yake utaomba wapi ushaur kama mlezi ndio muhusika mkuu... nweis kama uko karibu na viongoz wa dini washirikshe pia ongea na wazaz wako pia juu ya hilo swala...
 
inawezekana hata hiyo mimba kapewa na mama yake, wewe huna chako hapo mkuu, fukuza huyo mwanamke hakufai japokua inaonekana bado unampenda sana.
 
Tatizo ndoa ya kanisani kaka..
Sasa kama wewe umeliona tatizo ni hilo unakuja kulia lia nini hapa? watu wanakupa ushauri kuwa achana na hilo gube gube, afadhali hata baada ya kumuuliza angelitubu lakini bado anakupa shit, TUPAKULE, kama mimi nisingemuacha kwa kosa nililomkuta nalo ningemuacha kwa majibu alotoa. Alafu unangangania eti ndoa ya kanisani wakati hao wachungaji wenyewe ni mabazazi pia. KWENDA ZAKO.
 
Hiyo ni laana, kuendelea kukaa nyumba moja na hiyo laana itahamia kwako.
 
Umeoa Shet'wan
Faida kwa wengine epuka sana mwanamke wa saloon, Bar cum Groceries
 
Back
Top Bottom