USHAURI: Ongeza elimu bure: Free MBA online

penseli

Member
Jan 11, 2016
10
3
Hivi kwanini uendelee kuhangaika kutafuta ada eti ili ukalipie chuo fulani ukasome kozi Fulani na wakati kwa sasa unaweza ukaisoma kozi hio hio kwa njia ya mtandao na wala mtu yeyote asikuingize gharama zisizo na maana. Tuache mambo ya kizamani sasa na tuanze kuendana na teknolojia.

Kwa sasa ni kwamba kuna tovuti inayotoa ushauri na melekezo bure juu ya namna unavyoweza ukasoma degree yako ya MBA (Masters of Business Administation):
  1. utapewa ushauri bure
  2. Utaelekezwa hatua za kufuata mpaka kukamilisha kozi yako bureee
  3. utapanua sana uelewa wako
UFANYE NINI?

Kazi ni nyepesi sana. Hakikisha kila mara unapokuwa unapata muda usiache kutembelea tovuti ya http://www.google.co.in/url?sa=t&rc...7lKMZb&usg=AFQjCNF4LGBZj6Ua6EWtccIiC5QieLn9fQ
 
Program hii itasaidia wengi hasa nchi za dunia ya tatu,na pia mtambuzi wa fursa hii na link nikupe big up sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom