Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Nilikuwa na tatizo kama hilo. Siku hizi linapungua maana baada ya kazi muda unaofuata tu nakuwa humu jamvini. Siku JF ikikosekana sijui nitaokotwa wapi, nimeiacha chupa ya safari ikiwa na sura tofauti ila radha ya maji yake ni ileile!

hongera kwa kuacha, lakini umeingia humu september kufuatilia uchaguzi, ila nakupongeza,
SULUHISHO LA KUACHA POMBE NI KUOKOKA TUU
 
MPUI LYAZUMBI : unatudanga kwanza hiyo ndo thread yako ya 6 afu unasema ulikuwa na tatizo kama hilo. Siku hizi linapungua kwa kuwa baada ya kazi muda unaofuata unakuwa humu jamvini.Sijui kama hiyo ni kweli ila kwa ushauri wangu kuacha pombe ni kuji tune saikolojikale

Kuwepo jamvini mpaka utoe uzi? Naweza kuwepo ili kupata info na zaidi kudauni lodi madude upo mjomba!:smile-big:
 
Proverbs 20:1 "Wine is a mocker, strong drink is raging; and whosoever is deceived thereby is not wise."
A sane, sensible man when sober, loses all restraint when liquor is received into his system, and his mind does not function properly, for all alcoholic beverages are poisons which destroy the brain cells. "It swallows up the reason, dulls the mind, clouds the brain, stirs up the passions,"
Wise men will shun all forms of liquor for the poison that they are.

JESUS IS THE ANSWER
 
hata hawa tanesco nao wanachangia. kuna wale wanaorudi mahome wanakuta umeme kushney. hatua inayofuata ni .............
 
wandugu natafuta dawa ya kuacha pombe jamani. Nisaidieni kila nikikumbuka ze pombe naamishia ofisi kaunta. Yaani ndugu nateseka sana. Halafu nikisha kunywa nahamasika sana na mchezo wa ule wakati watoto wamelala. Nifanyeje jamani?

pole sana ila kwa kuwa pombe haitembei unaifuata mwenyewe nafikiri dawa nzuri nikutoifuata pombe..maskini ya mungu yenyewe iko kimyaa unaifuata,unaizibua kizibo unaimimina inakaa kimya we unaanza kuinywa wala haikuongeleshi...
 
I have been Drinking for the Last Five years.
But I really dont know why I should Drink!
It has reach a point whereby a day cant pass without me taking 1 or 2

At the moment am sruggling on quiting drinking alltogether!!
Please JF members, Is there anyone who has been drinking and now he is out of it?
In simple terms, Is it posible for one to quit Drinking?

I always ask myself what I get from drinking but but only negatives
1. Hang overs in the office
2. I cant give out my best in office
3. Loss of money
4. Am growing old at a very high rate
5. Kitambi
6. Some sundays I cant attend mass due to hang over
7. I drive carelessly as I feel am the Michael schumacher of Tanzania.
8. Some people now just take me as a mare drunkered
9. Sometimes am late in the Office
10. Most of my free time is wasted in Bars
11. Sometimes I end up Picking Those Bar maids.
-------------
--------------
--------------
--------------
--------------
---------------
--------------
---------------
------------------
------------
--------------

Hebu nisaidieni jamani, Nimedhamiria kwa moyo mmoja kuacha pombe, sitaki kurudi nyuma. Tatizo nikiingia hata kwenye Bar nikiona Castle ya baridi koo linakauka ghafla, please members advise me, Ninajua kuna wangi hapa walikua type yangu lakini sasa wamepona, Huu kwangu sasa ni ungonjwa, wahat Can I just do niachane na hili Zimwi?
 
Changanya mavi ya kuku ktk hiyo glass ya bia, konyagi, ama pombe yoyote unayokunywa. Kunywa na maliza kama glass mbili hivi na usisikilize ladha yake wakati unakunywa.
Baada ya nusu saa utatapika sana. Halafu baada ya hapo nakuapia ukionja pombe yoyote ile utatapika na hototamani kunywa aina yoyote ya pombe tena hadi mwisho wa maisha yako.
 
Changanya mavi ya kuku ktk hiyo glass ya bia, konyagi, ama pombe yoyote unayokunywa. Kunywa na maliza kama glass mbili hivi na usisikilize ladha yake wakati unakunywa.
Baada ya nusu saa utatapika sana. Halafu baada ya hapo nakuapia ukionja pombe yoyote ile utatapika na hototamani kunywa aina yoyote ya pombe tena hadi mwisho wa maisha yako.

Is this a joke?
 
1. Ukitoka ofisini nenda kwenye ibada za jioni
2. Acha uwizi kazini kwani hela unazotumia kunywa ni zile unazozipata kwa deal
3. Ji commit na majukumu makubwa ya kimaendeleo hutakuwa na surplus
4. Jiendeleze kielimu hivyo utatumia muda mwingi kusoma

Kama hayo hayatoshi sema nikuongezee dozi - kwaheri nawahi kibaruani
 
Aisee Mlachake, ukiipata hiyo dawa naomba uniPM nami niijaribu.

Mi nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa.

Ngoja nikazimue kwanza.
 
Kuliwahi kuwa na Alcoholics Anonymous Dar es Salaam. Kama upo Dar, na hiyo AA bado ipo, jiunge nayo
 
kwa nini uache ? Punguza tu usiwe mlevi. Kama mwili unahitaji alcohol ukiunyima unauonea. Enjoy youself . Usipokinywa pombe utakunywa nini tena? Au maisha yatakuwa na faida gani. Sikushauri uache bali punguza .
 
kwa nini uache ? Punguza tu usiwe mlevi. Kama mwili unahitaji alcohol ukiunyima unauonea. Enjoy youself . Usipokinywa pombe utakunywa nini tena? Au maisha yatakuwa na faida gani. Sikushauri uache bali punguza .

Hapo kwenye kupunguza mkuu!
Yaani nikiingia Bar tu nawasha kamoja.
Zinakuja kama kumi mezani. Si unajua tena sisi wanywaji tuna ka undugu fulani
 
Aisee Mlachake, ukiipata hiyo dawa naomba uniPM nami niijaribu.

Mi nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa.

Ngoja nikazimue kwanza.

Babu nimeogopa kwenda ku donate Damu muhimbili leo kwaajili ya waathirika wamabomu kwasababu nahisi mtu akiongezewa damu yangu atalewa

Kuliwahi kuwa na Alcoholics Anonymous Dar es Salaam. Kama upo Dar, na hiyo AA bado ipo, jiunge nayo

Mkuu asante sana, shida nikwamba nipo mkoani. ila ngoja nitaulizia hii

Mkuu I'm more than serious!

Ulishawahi kufanya hivyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom