Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Benefits of Drinking Alcohol - yes advantages of drinking

Author : Akshay Marwah | on 21st Mar 2009
A MUST READ AS FROM NOW ON YOU WILL FEEL GOOD ABOUT YOURSELF HAVING A DRINK

David J. Hanson, Ph.D., Professor Emeritus of Sociology at the State University of New York at Potsdam, is the expert on alcohol, and writes that moderate drinkers tend to have better health and live longer than those who are either abstainers .He cites research that shows that moderate drinkers:
* Have fewer heart attacks and strokes.
* Have lower incidence of hypertension, peripheral artery disease, Alzheimer’s disease, and the common cold.
* He also links moderate (sensible!) drinking to a lower risk for a myriad of other conditions, ranging from Parkinson’s disease to “poor physical condition in the elderly."

Some cardioprotective benefits have been demonstrated for light to moderate alcohol consumption (up to 1 drink daily for women and 1 or 2 drinks daily for men). Most studies have shown that light to moderate drinking is associated with risk reductions for CHD of approximately 30% to 35%.

Alcohol consumed in moderation seems to have an antiatherosclerotic effect, with decreased incidence of peripheral arterial disease Like exercise, alcohol consumption seems to be most cardioprotective when done daily and in moderation.

consumption of 1 drink daily by women and 1 or 2 drinks daily by men was associated with an 18% reduction in total mortality

Although low-dose, daily alcohol consumption has been linked to better health than less frequent use

Guidelines from the United Kingdom suggest that middle-aged or elderly men and postmenopausal women who drink seldom or never might consider the possibility that light drinking would benefit their health

The strongest medical evidence exists for the link between moderate drinking and a reduced risk of heart disease.

Dr. Kenneth Mukamal, an internist at Beth Israel Deaconess Medical Center and assistant professor at Harvard Medical School in Boston, was the lead author of a New England Journal of Medicine study examining the roles of drinking patterns and heart disease that found, after 12 year of follow-up, that men who consumed alcohol between three and seven days a week had fewer heart attacks than men who drank once a week
 
Ukiacha pombe utakuwa zezeta, fuata ushauri wangu. wanaume wajanja wote wanapiga ulabu na wanajua kufanya kazi kwa bidii kutafuta zaidi. Ukiacha pombe utafanya kipi baada ya kazi (11 jioni hadi saa 2 usiku?) may be uanze kuimba kwaya!:smile-big::smile-big: au uwe mzee wa kanisa hapo kwenu.
Hapo kweli maana wife naye anarudi home saa 11 sasa si itakuwa balaa hapo. Naaanza kuona madhara ya kuacha pombe.
 
kama una mzazi karibu chukua glac yako ya bia mwambie adondoshee tone la maziwa unywe, hutakaa uguse pombe! nimeshuhudia kwa mtu hii kitu.

Mzazi maana yake nini sasa. Mama yangu mzazi ama mama anayenyonyesha?
 
Kuacha pombe ni suala la uamuzi, na ni vema unapoamua kuacha pombe usiache kwenda baa na usiache pombe wakati huna pesa. Unachotakiwa ni kusema kuanzia leo pombe sitaki na unakunywa ; say club soda!. Kaa baa kama ulivyokuwa umezoea, kutana na marafiki zako kama kawaida . Lengo hapa ni kwamba usiharibu ratiba yako ya kawaida ghafla, na ninakuhakikishia utafanikiwa. Mimi nilifanya hivyo na sasa ni miaka karibu 20 nimesahau pombe, japo baa bado naenda na marafiki zangu bado ni walewale na wanakunywa na ofa nawapa, mimi nakunywa non-alcoholic drinks tu.
 
Kuacha pombe ni suala la uamuzi, na ni vema unapoamua kuacha pombe usiache kwenda baa na usiache pombe wakati huna pesa. Unachotakiwa ni kusema kuanzia leo pombe sitaki na unakunywa ; say club soda!. Kaa baa kama ulivyokuwa umezoea, kutana na marafiki zako kama kawaida . Lengo hapa ni kwamba usiharibu ratiba yako ya kawaida ghafla, na ninakuhakikishia utafanikiwa. Mimi nilifanya hivyo na sasa ni miaka karibu 20 nimesahau pombe, japo baa bado naenda na marafiki zangu bado ni walewale na wanakunya na ofa nawapa, mimi nakunya non-alcoholic drinks tu.

hii yako inahitaji moyo sana, wengine wakikaa bar hata kama wa dose wanataamni kuikatisha ijekuwa wazima?
 
mama anaenyonyesha, kamulia huko kidunchu tu then kunywa, hutakaa unywe pombe tena.
hebu elezea vizuri mamaa ya maarifa ya jamii. unkamata nyonyo unakamua, unachanganya na valuer unagonga.
then inatokea nini mpaka uache?
 
Wandugu natafuta dawa ya kuacha pombe jamani. Nisaidieni kila nikikumbuka ze pombe naamishia ofisi kaunta. Yaani ndugu nateseka sana. Halafu nikisha kunywa nahamasika sana na mchezo wa ule wakati watoto wamelala. Nifanyeje jamani?

Dawa ya kuacha pombe naijua ila nipm ki personally nitakuambia...ila ndugu yahitaji moyo..but utafanikiwa....
 
hebu elezea vizuri mamaa ya maarifa ya jamii. unkamata nyonyo unakamua, unachanganya na valuer unagonga.
then inatokea nini mpaka uache?

kinachotokea ckijui lakini mambo ndio hayo,..ucje kuniuliza y cjui coz mie bado nipo nipo na ckuwahi kumuuliza mhucka niliemshuhudia kuwa kilitokea nn, hata mbege nayo kwake haipiti tena na akikuona unakunywa anakushangaa sana, kawa mtu wa fanta pineapple....:sad:.njoo bado nanyonyesha nikukamulie then utatuambia kinatokea nn, au we bado upo upo?
 
Ha kumbe Nyamayao unanyonyesha! Nambie nikukute wapi bac
 
Ukishindwa kuacha Pombe Nenda Afghanistan kakae kwa meizi sita ukirudi (hai) utakua umeacha pombe.:tape:
 
Benefits of Drinking Alcohol - yes advantages of drinking

Author : Akshay Marwah | on 21st Mar 2009
A MUST READ AS FROM NOW ON YOU WILL FEEL GOOD ABOUT YOURSELF HAVING A DRINK

David J. Hanson, Ph.D., Professor Emeritus of Sociology at the State University of New York at Potsdam, is the expert on alcohol, and writes that moderate drinkers tend to have better health and live longer than those who are either abstainers .He cites research that shows that moderate drinkers:
* Have fewer heart attacks and strokes.
* Have lower incidence of hypertension, peripheral artery disease, Alzheimer’s disease, and the common cold.
* He also links moderate (sensible!) drinking to a lower risk for a myriad of other conditions, ranging from Parkinson’s disease to “poor physical condition in the elderly."

Some cardioprotective benefits have been demonstrated for light to moderate alcohol consumption (up to 1 drink daily for women and 1 or 2 drinks daily for men). Most studies have shown that light to moderate drinking is associated with risk reductions for CHD of approximately 30% to 35%.

Alcohol consumed in moderation seems to have an antiatherosclerotic effect, with decreased incidence of peripheral arterial disease Like exercise, alcohol consumption seems to be most cardioprotective when done daily and in moderation.

consumption of 1 drink daily by women and 1 or 2 drinks daily by men was associated with an 18% reduction in total mortality

Although low-dose, daily alcohol consumption has been linked to better health than less frequent use

Guidelines from the United Kingdom suggest that middle-aged or elderly men and postmenopausal women who drink seldom or never might consider the possibility that light drinking would benefit their health

The strongest medical evidence exists for the link between moderate drinking and a reduced risk of heart disease.

Dr. Kenneth Mukamal, an internist at Beth Israel Deaconess Medical Center and assistant professor at Harvard Medical School in Boston, was the lead author of a New England Journal of Medicine study examining the roles of drinking patterns and heart disease that found, after 12 year of follow-up, that men who consumed alcohol between three and seven days a week had fewer heart attacks than men who drank once a week
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom