Ushauri: Nina wasiwasi mwenzenu!

Kama unachosema ni kweli kuna dalili za ushirikina hivi ....
Inawezekana kuna mtu ameamua kukuchezea maana nilishawahi kusikia stori kama hizi na ilifikia mpaka mtu analazwa nje bila yeye mwenyewe kujijua!
Ni vyema utafute watumishi wa Mungu wakufanyie maombi. Pole!
asante sana kwa ushauri wako,nami nitafanya hivyo.
 
mito nashukuru sana kwa ushauri wako,shida ni nyumba yangu mwenyewe ya kujenga,and nina miezi 3 toka nihamie,halafu sinadhuluma wala sinauhusiano na mme wala hawala wa mtu.ila naamini Mungu atanipigania kwa hili.muniombee dua mwenzenu.mpaka nyumba naiogopa.leo sitapata usingizi na mida ndo hiyo inakaribia.

Kama wewe ni mkristo na unamwamini Mungu, omba kwa imani kabla ya kulala, pia lala na biblia kitandani na nyingine weka kwenye stuli/kigoda mlangoni. Pole sana mamajack, ni wanga tu hao wanakuja kukuchezea
 
Kama wewe ni mkristo na unamwamini Mungu, omba kwa imani kabla ya kulala, pia lala na biblia kitandani na nyingine weka kwenye stuli/kigoda mlangoni. Pole sana mamajack, ni wanga tu hao wanakuja kukuchezea
asante sana.
 
Una umri gani?kuna mtu hapo juu kaomba aje kulala na wewe ili akulinde,somehow itakusaidia,unajua haya mambo ya ushujaa wa kulala peke yenu nayo ni hatari sana au mzee kasafiri!kingine pitia sehemu inayouzwa kiti moto uchukue angalau kipisi cha robo kilo kikaange halafu urudi nacho nyumbani ukini'ginize mlangoni uone kama mauzauza kama hayo yatatokea.
 
wasiwasi wako tu ondoa hizo hofu kwani hofu humkaribsha shetani
ni hivi huwa unaamka na kuvua nguo mwenyewe kwa kuhisi joto
lakini unavua huku ukiwa umesinzia wengine huwa wanatembea hata kufua nguo zao kudeki nyumba kuosha
vyombo, kufanya ngono bila kufungua macho wanakuwa kama wanaota. wanaita sleep walking.

soma zaidi hapa Sleepwalking - Wikipedia, the free encyclopedia
Sleepwalking, also known as somnambulism, is a sleep disorder belonging to the parasomnia family. Sleepwalkers arise from the slow wavesleep stage in a state of low consciousness and perform activities that are usually performed during a state of full consciousness. These activities can be as benign as sitting up in bed, walking to the bathroom, and cleaning, or as hazardous as cooking, driving, having sex, violent gestures, grabbing at hallucinated objects, or even homicide
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom