Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya kahawa

chodoo

Member
Mar 6, 2012
85
33
Nataka kuanzisha biashara ya kununua kahawa kwa wakulima na kuiuza kwenye bodi ya kahawa.

Mwenye uzoefu na biashara hii kuna changamoto zipi ambazo naweza kukumbana nazo? Na je, bado ni biashara inayolipa?
 
Hivi ndo biashara hii inavyo fanyika kwa sasa
coffee-market-system3.jpeg
 
Ukitaka kuijua biashara usiulize kwani ukweli siri nyingi za faida kwenye biashara hubakia kuwa siri huwezi kzipata mpaka uwe mwanachama hapa utapewa tu ABCD
 
Back
Top Bottom