Ushauri MOE

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Ni dhahiri kuwa watanzani wengi wanapata matatizo mengi kwa kutokujua sheria.
Kwasasa sheria inafundishwa kwa wale tu wanaoenda kuifanyia biashara na si kwa matumizi ya kila siku.

Napenda kuishauri Wizara ya Elimu kuwe na somo la sheria ktk levo za chini. Ili imuwezeshe walau kila mtanzania ajue zile sheria ambazo ni basic.

Kama sheria inamhusu Mwananchi kwanini asijengewe mazingira ya kuijua kwa undani zaidi?. Kwanini watanzania tuishi kwa mazoea?.

Nipo tayari kurekebishwa. Nawasilisha wana jamvi.
 
Ni kweli kabisa nadhan ipo kwenye civics ila inahitaji ipewe nafasi zaidi
 
Ni kweli kabisa nadhan ipo kwenye civics ila inahitaji ipewe nafasi zaidi

watoto wanafundishwa na waalimu ambao hawajui sheria. What output do you expect?.
 
Back
Top Bottom