ushauri matokeo yangu mabaya( div zero)

Huyo ndg anayo nafasi kubwa sana ya kufanikiwa; kwani hayuko tayari kurudia makosa; atafanya kazi kwa bidii ili apate mafanikio makubwa zaidi ya waliomua kuendelea kusoma.
 
NI KWELI MTUPU INABIDI TUKUWEKE WAZI ILI 2SILAUMIANE HAPO BAADAE ( tafuta michakato mingine itakusaidia kujikwamua kimaisha kwani maisha mazuri ni juhudi za mtu binafsi na sio lazima upitie maxul, mauniversities dont gv up ihop utawin) thanks!!!!!!
 
Back
Top Bottom