Ushauri, M4C na vipaumbele vya chama

step

Senior Member
Jun 4, 2011
190
75
Ni wakati mzuri sasa viongozi na waratibu wa M4C kuanza kuwaonyesha njia watanzania katika kufanikiwa kutatua matatizo yao ya msingi. Nini kitafanyika iwapo CCM itaondoka madarakani what are opportunities, barries and weakness tulizonazo watanzania chini ya utawala wa CCM ili kupata Maisha bora na uchumi imara. Wananchi wameaonyesha kutaka mabadiliko kwa kiasi kikubwa ila nafikiri kuna kundi kubwa sana wasiofahamu ni nini vipaumbele walivyonavyo watawala wajao.

Ni muhimu sana M4C ilifanyie kazi hili!!
 
Kabla hujaiangalia m4c, jiangalie wewe unafanya nini kutatua tatizo na kuibadili hali.
 
Hivi mimi niulize? Suppose leo CCM wanaondolewa madarakani kama inavyoliliwa, hicho chama mbadala kimejiandaa kushika dola? Tunao viongozi wenye uwezo, uadilifu na hadhi ya kushika hatamu za nchi na kutupeleka mbele? Nilionalo mimi ni uwezekano wa watu kufanya mambo kama wale wanajeshi waliopindua serikali ya Mali halafu wanaulizana nani awe rais na wapi tuanzie!

Kama watu wako bize kufungua matawi katika nchi ambazo hao wanoitwa wanachama hawatakuja kupiga kura badala ya kutengeneza institutional structure ya chama ndani ya nchi, nina wasiwasi na vipaumbele vya chama hicho na uwezo wa viongozi wake kujua wanachohitaji kukifanya. Tuijadili hii objectively maana kwangu hii ni genuine concern kwa mustakabi wa nchi yetu!
 
Una akili ya kiroboto wewe.
Prof Varegu alijipambanua kama mwanamageuzi akanyimwa kazi UDSM. Unataka wengine wafukuzwe!??

Unajua wasomi wangapi wapo nje ya nchi hii na wakirudi wnaqrza kufanya maajabu??
Au unafikiri wote walio nje ni wapuka donuts kama majority of ccm die hards??

Think. Usiwe kama koroboi.
 
Back
Top Bottom