Ushauri kwa wanaume: Ukitaka kupata raha ya dunia.....oa mmasai

Mungu awakumbuke wanawake kama binadamu wenzao wasipowakumbuka. Hayo ni mateso sio mapenzi wala ndoa. Sielewi mwendhenu!
 
duh kweli Bongo tambalale...kweli unafanya mwanamke awe kizalisho wewe? Ulaaniwe na mungu hata shetani pia akulaani...
Kama kulaaniwa wangeanza wachaga kwani mwanamke wa kichaga ndie mzalishaji wa kila kitu huku Mwanaume akinywa mbege na chang'aa kilabuni.
 
Mungu awakumbuke wanawake kama binadamu wenzao wasipowakumbuka. Hayo ni mateso sio mapenzi wala ndoa. Sielewi mwendhenu!
Wala usishangae huo ni utamaduni wa kabila la kimasai na wewe ungezaliwa huko ungefuraia tu.
 
Back
Top Bottom