Ushauri kwa wanaume: Ukitaka kupata raha ya dunia.....oa mmasai

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Wasalaam wanajamviHakika wanaume wengi tumekuwa tukipata tabu sana katika kuchagua makabila ya wanawake wa kuoa napenda kuwaambia masai is the best tribe. Ukioa mmasai utalipa ng'ombe 10 na Mbuzi 60 na huyo Mama wa Kimasai ana wajibu kuzalisha mara mbili ya hiyo mahali ili amwezeshe mumewe kupata mahali ya kuoa mke wa pili naye wa pili atazalisha ili mumewe aoe mke wa tatu...etc. Huu ni utamaduni wa wenzetu wamasai na wake hao wanafanya hivyo ili wasaidiane majukumu ya kulea familia.Hii si ndo raha jama
 
Baba katika familia ya Kimasai kazi yake Kubwa ni kuhakikisha ulinzi wa familia na mali zake pamoja na kuzalisha watoto tu kwani majukumu ya kulisha na kulea familia, kuchunga mifugo, kutafuta mahala pa kuishi na kujenga nyumba ni ya mama siyo Baba.
 
Du..........
Tutapona ukimwi kweli?
Maana kila kibanda cha hao wake zako utakuta mkuki umechomekwa kwa nje halafu ndani njemba zinamega wake zako.
 
Du..........Tutapona ukimwi kweli?Maana kila kibanda cha hao wake zako utakuta mkuki umechomekwa kwa nje halafu ndani njemba zinamega wake zako.
He he he heee Mmasai hafi kwa ukimwi labda Simba au umesahau Babu wa loliondo alipata dawa toka kwetu.
 
Loh! sasa mume anakua yupo yupo2? kama kweli makabila mengine wanafuja wanawake basi, sasa huyo mwanamke atapata wapi mda wakujiangalia afya yake na kujiweka sawa kama kazi zote hizo yeye? ah mie naona nisingeolewa na hiyo kabila hata kama ningekua Mmasai.
 
Loh! sasa mume anakua yupo yupo2? kama kweli makabila mengine wanafuja wanawake basi, sasa huyo mwanamke atapata wapi mda wakujiangalia afya yake na kujiweka sawa kama kazi zote hizo yeye? ah mie naona nisingeolewa na hiyo kabila hata kama ningekua Mmasai.
Fahari ya mwanamke wa Kimasai ni kuzalisha mifugo kwa wingi na kumpatia mumewe utajiri mkubwa.
 
Utamaduni wa Kimasai ni Tofauti sana na makabila mengine na mmasai aliyepata elimu mara zote ukifuatilia background yake utakuta ni yule aliyewai kupoteza ngombe, mbuzi ama kondoo wakati anachunga hivyo uonekana mzembe na hana akili kwa hiyo soln ni kumpeleka shule akaelimike.
 
Aiseee
Yaani mwanamke wa kimasai ni kama punda???
Yaani mnajua kuzalisha tu, kulea je?? Utaweza kusomesha watoto wote hao??
Acheni kuongea madudu, alaaaa!
Mcccchhhhhhhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx!!!
 
wakati huyu mwanamke anazalisha mwanaume anafanya nn?

Au ndo mambo ya kulelewa?(samahan wamasai nahtaji ufafanuzi tu)
 
duh kweli Bongo tambalale...kweli unafanya mwanamke awe kizalisho wewe? Ulaaniwe na mungu hata shetani pia akulaani...
 
hiv ngeleja time hii anafanya nini wakuu!???? Au anachakachua????
 
Back
Top Bottom