MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,057
- 1,371
je wewe ni kijana ambae umefikia umri wa kuoa?. Kama jibu ni ndio kabla hauja chagua mchumba, zinga tia mambo ya fuatayo.
1.kabla ya kuoa, unatakiwa uwe na shughuli yoyote halali, ambayo itakua inakuingizia kipato.
Umuhimu wa hili nadhani upo wazi sana, bila kua na kipato huwezi kujitegemea. Kujitegemea ni kufanya kazi ya halali na kuweza kupata mahitaji ya lazima kwa binadamu( chakula, malazi na mavazi), mahitaji muhimu(afya na elimu) na mahitaji ya ziada( simu na gari).
2.usije ukafikia uamuzi wa kuoa, kwa sababu unahamu ya kufanya ngono. Mara nyingi sana vijana huamua kuchukua uamuuzi huu mgumu ili aweze kujiridhisha kingono na mwanamke flani ambae kwa wakati huo amemtamani sana kufanya nae ngiono, lakini mazingira ya kumpata yana masharati ya ndoa. Hivyo kijana ana amua kuao ili akaridhishe hamu yake ngono.
Madhara ya hili, hamu itakopo isha, na kuona kua mkewe ni mwanamke wa kawaida kama wana wake wengine, na ikatokea mwanamke mwengine zaidi yake, hapo matatizo, ndoa huvunjika ilihali, msha zaa watoto.
3. kabla ya kuchagua mchumba, lazima ujue sifa za mwanamke unae taka awe mke wako, na mama wa watoto wako. Zianishe sifa hizo wewe mwenyewe au kwa ushauri wa watu wenye hekima, na uzijue sifa hizo kwa moyo. Kwa hiyo mwanamke yoyote atake jitokeza au kukuvutia, lazima ulinganishe na sifa unazo zitaka.
Inabidi uwemakini na hilo. Utakutana na wanawake mtaani kwenu, shuleni au kazini. Nilazima uhakikishe kua mwanamke huyo ana sifa unazo zitaka na sio vinginevyo,Kama ushawishi wa marafiki, au ushawishi wa mwanamke mwenyewe au vinginevyo.
Ukikosea hapa, utakuja kujuta wakati "it is too late"