Ushauri kwa Mwakembye

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Kutokana na niliyoyaona Imanuel Tv namshauri ndugu yetu Mwakembye aende akaombewe kwani kwa taarifa tulizo nazo ni kwamba ile sumu ikishaingia kwenye system haiwezi kutoka milele mpaka ikupeleke kaburini,Mkuu panda ndege nenda Yule mchungaji amesaidia wengi sana tumeona kwenye Tv,hakuna binadam wa kukuponya na hili!
 
Kutokana na niliyoyaona Imanuel Tv namshauri ndugu yetu Mwakembye aende akaombewe kwani kwa taarifa tulizo nazo ni kwamba ile sumu ikishaingia kwenye system haiwezi kutoka milele mpaka ikupeleke kaburini,Mkuu panda ndege nenda Yule mchungaji amesaidia wengi sana tumeona kwenye Tv, hakuna binadam wa kukuponya na hili!
Mkuu mbona unamshauri aende kwa T.B Joshua ilihali unasema hakuna binadamu wa kumponya?
 
Da inaniuma sn nikiskia mwanakijij mwenzangu kafanyiwa hvo., ee Mungu msaidie dk,. Mwamunyange unamsaidieje huyu ndugu, jiran na mumini mwenzetu wa kanisa la moravian itenya,. Kumbuka nyie ni ndugu saidianeni
 
Kweli Mungu anaweza! Mwakyembe akiamini,atapona kabisa!
Ayubu aliugua zaidi ya huyu Mwakyembe lakini kitabu cha neno kinatueleza kwamba Mungu alimponya kabisa na akamrejeshea vyote alivyokuwa ameibiwa na adui!!
 
mwakyembe hajastaafu tu huo u naibu waziri? anan'gn'gniza nini tena?
Mimi namuomba kwa akiri yangu yote. Kama CCM wamemfanyia hivyo, aachane na huo NW na arudi kwao Kyela akapumzike. Sasa hivi kitakachofata ni Mwakyembe hali yake ni mbaya na kakimbizwa India chini ya uangalizi wa Madakitari kwa sababu ya yeye kuogopa kuwataja hao Mafilauni wake. We love you Mwaki
 
Mwakyembe tutajie hao wauaji kabla ya mauti kukukuta kama Balali, sisi tutashughulika nao hata kama wewe hautakuwepo.
 
mheshimiwa mbowe anahusika kwa uwekaji wa sumu ya mwakyembe inasemekana sumu hiii inapatikana kwa viongozi wa dini na jeshini.sasa siku ya tukio DK mwakyembe alikwenda kufanya ibada na mbowe alikua tayari kashapangwa kwenye iyo ishu.basi bila kujua akaingia kwenye mtego.kumbuka ni mbowe ndiye aliyemfanyia umafya dk Slaa kwa kumtoa bungeni ili zile tuhuma za EPA zife na ammalize kisiasa na amefanikiwa ni mbowe aliyetumika kummaliza Chacha wangwe ili kadhia ya migodi ya north mara na kashfa za kumwaga sumu ya kemicali iliyowaua na kuwaaathiri wananchi wa tarime izimike na alifanikiwa .mbowe pia anatumika kumspeed gavana zitto kabwe kwa kumpa fustration za hapa na pale ili a lose focus na wananchi wakose imani nae.mbowe alitumika kumnyamazisha mheshimiwa Tindu lisu kwenye mjadala wa katiba uliomalizika juzi kwa wale walioona live mheshimiwa mbowe alitoka alipokaa akaenda kwa mwanasheria mkuu kuteta ili muswada upitishwe pia mbowe amepewa tena kazi ya kummaliza Godbles lema ambayo mtaiona siku chache zijazo
 
Back
Top Bottom