Ushauri kwa mmakonde mwenzangu Harmonize

Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs.....Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs....Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs...Nisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs...Shilole 29 Nedy Music 21...8 yrs....Wema Sepetu 28 Idriss 23 whch s 5 yrs... ishakua kawaida bongo...mwee vijana wamenunua walezi au mi siwaelewii

Mkuu kama kuna nia ya dhati ya mahusiano si Tatizo, Tatizo ni kuwa wana mahusiano ambayo hayaja barikiwa na ndoa..

Kama ni umri si kigezo maana hata Mtume Muhammad alioa mke wake wa kwanza Khadija, akiwa amezidiwa miaka 15...
 
Tasfiri ya kiswahili
Yaaani wewe harmonize unakumbuka umefuata nn hapa duniani? Huyo msichana sio wa kumfanya kuwa mke, nakuambia huyo msichana ni mchaga, atachuma mali kwa mgongo wake halafu huyoooo anasepa,sasa sikia ndugu yangu achana na huyo msichana ewe mkudi mwenzangu
Kwa hiyo umeshindwa kutafsir nkudi au unadhan ni neno la kiswahili? Ha ha
 
Yaani mniskitika sana, lisiku limu vanimhoji na milard ayo mkuchi nang"e bado mjoko akaweza kuva na mmahe hambi nelo panimmona na aneyo LIKAVENGA lya mwanza yaani nangu kusikitika namene
Apilikane mlongo wetu...teh teh..
 
Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs.....Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs....Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs...Nisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs...Shilole 29 Nedy Music 21...8 yrs....Wema Sepetu 28 Idriss 23 whch s 5 yrs... ishakua kawaida bongo...mwee vijana wamenunua walezi au mi siwaelewii
Baraka da prince tena ayaa si yupo na naji au na Idris bado yupo na wema kwa
 
hahahahahahahaha
ukisimama nchale
ukikimbia nchale
ukikaa nchale
 
View attachment 350848

NIMEMPA MANENO KILUGHA SASA AKILI KICHWANI MWAKE

Wako kaka hamornize uve nkukumbuka apanu pachilambo ufete chani?... anayemwali waa akave mmaeeh ngukuaulila aneyo mwali wanchema mnchaga nang'e kuchuma mali kisha kuka ambi pilikana mnong'o wangu mnekeee aneyo mwali nkidimwangu

CC Kaisi Hemed Kaisi
Hahaha!!! Duh!! Ungemwambia kwa kiswahili asingekuelewa kabisa,ila hongera umemkumbusha kinyumbani
 
Back
Top Bottom