ushauri kwa Mh ALi malima

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
mkuu tumekusoma kwenye Tbc news jioni hii ukiendeleza ile sera yenu ya kutembelea wanachi'
mkuu tumeshangazwa sana na uamuzi wako wa kuongea kiinglish na wananchi wanaoishi vijijini'hivi ina maana walikuelewa?kama watanzania waishio mijini hiyo lugha inawasumbua sembuse wa vijijiini?kama kiswahili ndio lugha inayoeleweka kwa watanzania wote kwa msitumie?viongozi wetu acheni masihara kwenye maendeleo ya nchi yetu'umenikera sana mkuu!!
 
sisi tunaoishi mijini ndio tunajipimia kiinglish sasa anavyokipeleka kijijini anaonyesha ni jins gani hajitambui
 
anamuuliza yule jamaa eti kwanini hajawajibika, hivi hata yeye kumbe anaamini kuna wakat mtu anapaswa kuwajibika,
frustrating.
 
Halafu sasa hivi ni kama wameambizana vile!Wanajifanya wanakemea kweli maovu.Jamaa kawakomalia watu wa TAZAMA kama Mwanri anavyowagomba wakurugenzi wa halmashauri.
 
Back
Top Bottom