Ushauri kwa matokeo haya yangu ya form six

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Nimepata three ya 16. Hist E, kisw E na engl S. Gs pia s. Naomba ushauri nini cha kufanya kama naweza kupata chuo. Ushaur tafadhali
 
chuo mbn unapata jaribu kuomba vyuo hata vitatu usikate tamaa ww uko poa
 
Mkuu omba vyuo vingi hasa vya binafsi utapata chuo. Kama wategemea mkopo nakushauri omba education.
 
MSAADA WA MAWAZO.jamani mwenzunu nimerukwa na akili sijui la kufanya maananaona matumaini yangu yamepotetea,nilifanya mtihani wa form six 2011 nikapata iv ya 18 pcm wazazi wakashindwa kunipeleka diploma nikaona nilisiti ili nipate kamataweza kwenda chuo nipate labda mkopo nikalisiti math na phys nimepata math D na phys S.AWLI nilikuwa na phys F chem E math S.JE? WANAJAMII NAWEZA KUAPLAI DEGREE.
 
We hovyo kabisa yaani usihangaike ku apply..nenda kalime matikiti maji na mapeas ..shule huwezi utapoteza muda wako bure..kutwa mko fb na twitter na kuvaa milegezo..mkiingia kwenye paper mnaona nyota kazi kujikunakuna tu ..nenda kalime usituchoshe hapa..tuna mambo ya kitaifa tunatafakari sio hayo mautumbo yenu..
 
Nimepata three ya 16. Hist E, kisw E na engl S. Gs pia s. Naomba ushauri nini cha kufanya kama naweza kupata chuo. Ushaur tafadhali

Kaka hongera na umshukuru mungu kwa hicho ulichopata. Una vigezo vyo kupata chuo. Ukweli ni kwamba,mwaka huu serikali kupitia bodi ya mikopo,imetoa taarifa kutoa kipaumbele kwenye programmes za science na Education.Fungua "www.heslb.go.tz",alafu fungua 'news' yenye title"GUIDELINES AND
CRITERIA FOR ISSUANCE
OF STUDENT LOANS AND
GRANTS FOR
2012/2013 ACADEMIC
YEAR" alafu ikifunguka,soma 4.4 @ "Award of One
Hundred Per-cent
(100%) Loans" kisha soma "4.5 Candidates admitted
into Education Non-
Science and Non
Mathematics Education
Programmes." utaona nani anapewa kipaumbele kwenye loan! Nakushauri uapply education in arts subjects kama unategemea kupata mkopo(watakupa 50%).
 
We hovyo kabisa yaani usihangaike ku apply..nenda kalime matikiti maji na mapeas ..shule huwezi utapoteza muda wako bure..kutwa mko fb na twitter na kuvaa milegezo..mkiingia kwenye paper mnaona nyota kazi kujikunakuna tu ..nenda kalime usituchoshe hapa..tuna mambo ya kitaifa tunatafakari sio hayo mautumbo yenu..

Kigogo,unajitafutia laana,hiyo sio kauli nzuri kumwambia mtu katka wakati mgumu kama huu alionao. Kumbuka nawe pia unaweza zaa mtoto ambaye kichwani,ni bora hata huyu unayemporomoshea kejeli zako.Shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
hivi nyie ni wazima kweli?sasa hiyo education ndio aje kuwa mwalimu wa nani?

Lengo la yeye kushauriwa akasome education,ni kumwezesha yeye kupata mkopo. Bodi ya mikopo imetangaza kutoa kipaumbele kwenye programmes pamoja na Elimu. Kama kweli wewe unauchungu na elimu ya Tanzania,mbona hautazami kuanzia msingi ambapo,wale waliopata div.4 ndo wanapokimbilia?? Tatizo katika elimu haianzi hapo,hata huyu leo unayemlaumu alifundisha na walimu waliofeli form 4 na kukosa sifa za kuingia kidato cha tano ndo maana pengine akawa hivyo
 
bora hata wewe umenisadia
 
Back
Top Bottom