Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Hakikisha ukiingia IKULU kazi ya kwanza ni kurudisha hizi pesa
Kwa nini Tanzania ni masikini?
No no no no no !!!!!!!!!!!!!!Sijui ni kwanini>
- Twin Towers Billioni 221
- CIS Billioni 199
- Richmond Billioni 172
- Richmond Billioni 23
- Meremeta Billioni 155
- EPA Billioni 133
- Rada Billioni 40
Kwa nini Tanzania ni masikini?
No no no no no !!!!!!!!!!!!!!Sijui ni kwanini>