Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Ongeeni mtakavyo lakini huyu jamaa suala lake halina uhusiano na serikali na hakuna serikali inayoweza kufanya mambo kizamani hivyo kama lengo ilikuwa ni kumuua. Huyu ni mhujumu na asubiri kuchukuliwa hatua kwankufanya mgomo usio halali na kusababisha kuzorota kwa huduma na watu wasio na hatia kufa. Mnaonukuu Mwanahalisi hamjui kwa nini imefungiwa?
teh teh teh...Hata Mahalu naye alishitakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi! But today is a free dude