Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka

Wana JF,

Nimefikiria sana juu ya mustakabali wa Dr. Ulimboka mara Mungu atakapomjalia afya njema na akarejea nyumbani.

Japo sijui msimamo wake binafsi na familia yake, reaction ya serikali (badala ya kujibu hoja) ya KULIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA GAZETI LA MWANAHALISI lililofichua mpango mzima (na wahusika wakuu) wa kukamatwa kwake,kuteswa na hatimaye kutupwa katika msitu wa pande wakidhani angekufa tu kunadhihirisha mambo mawili makubwa.

Mosi serikali ndiyo iliyohusika na unyama aliofanyiwa Ulimboka;

La pili, kwakuwa hajafa till now,hayuko salama.

Ushauri:

Hukohuko aliko,arejee maelezo yake juu ya unyama aliofanyiwa kwa undani na ufasaha na yahifadhiwe kwenye formats mbalimbali na yasambazwe kwenye vyombo vyote vya habari (vya ndani na nje) kwa ajili ya kumbukumbu. Na mara tu atakaporejea nyumbani afanye press conference juu ya tukio lake na pia kutangaza kuacha kazi serikalini.

Kama anaweza siasa ajiunge na chama cha upinzani. Kwenye uchaguzi ujao atapata kura za kishujaa.

Wana JF mnasemaje?
Nilijua tu , haraka haraka zile za makundi mbalimbali wengine wakijiita wanaharakati alikuwa ni CDM tu. Afadhali sasa mmejitokeza wazi na kuonesha hizia zenu kuwa Dr Ulikuwa alikuwa akiyafanya hayo kwa Maslahi ya Chama. Hivi watanzania wajinga kiasi gani watakaochagua chama cha siasa kinachopandikiza chuki miongoni mwa wananchi wake kama CDM?
 
Ongeeni mtakavyo lakini huyu jamaa suala lake halina uhusiano na serikali na hakuna serikali inayoweza kufanya mambo kizamani hivyo kama lengo ilikuwa ni kumuua. Huyu ni mhujumu na asubiri kuchukuliwa hatua kwankufanya mgomo usio halali na kusababisha kuzorota kwa huduma na watu wasio na hatia kufa. Mnaonukuu Mwanahalisi hamjui kwa nini imefungiwa?
 
Sadist kubenea,helen kijo bi simba na wanaharakati wanaandaa mapokezi yake.
 
Akirejea hataongea na vyombo vya habari ila ameandaa kanda inayoelezea yaliyomkuta ambayo imetiwa chumvi na akina bisimba,na kubenea.
 
Ongeeni mtakavyo lakini huyu jamaa suala lake halina uhusiano na serikali na hakuna serikali inayoweza kufanya mambo kizamani hivyo kama lengo ilikuwa ni kumuua. Huyu ni mhujumu na asubiri kuchukuliwa hatua kwankufanya mgomo usio halali na kusababisha kuzorota kwa huduma na watu wasio na hatia kufa. Mnaonukuu Mwanahalisi hamjui kwa nini imefungiwa?
Tutaongea tutakavyo lakini hii serikali siyo ile aliyotuachia Julius Nyerere. Nyerere asingemuua Kombe. Serikali za kifisadi ndizo zinazoweka killer squads na serikali ya Kikwete ni mojawapo. Na Vincent juzi alitukumbushia kumbe hata Nyerere mlimuwahisha. Siwezi kutetea serikali hii nikiwa na akili timamu.
 
Mbopo upo dunia nyingine. Serikali imekubali wazi wao ndiyo waliofanya unyama ule kwa Ulimboka mpaka wamefungia gazeti liloweka bayana kila kitu ila kwa ufupi tu, kama wangetaka ukweli zaidi Serikali wangeenda mahakamani ndiyo ungeona simu ya Pinda ikiwasiliana na J.K na Rama. Tigo wamefukuza wafanyakazi ina maana taarifa zile ni za Kweli tupu.

Ulimboka anyooshe maelezo hukohuko akija hapa aingie free na aishi freely
 
Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.

UNA LAANA WEWE , ULIMBOKA KAMUUA NANI kweli watu mnajua kutumika wakati wenzetu ma-drs wakijitahidi kututea serikali iweke vifaa hospitalini wewe unawaponda wanaotutetea kwa kuwazushia mambo ya uwongo. Unadhani jambo hili kuna asiyejua kuwa kuna mkono wa serikali juu ya kipigo na mateso ya Dr. ulimboka? Utakuwa ni kichaa ukiamini hiyvyo.

Kweli ukombozi wa nchi hii ni mgumu sana kama kumfufua marehemu!!!!!! Hospitali moja tu ya MNH haina CT-SCAN ambayo bei yake ni sawa na gari moja la Mkuu wa Mkoa wako, achilia mbali mashine zingine, juzi dada mmoja kajinyonga GEITA ndani ya Hospitali ya Wilaya baada ya mwanaye kufa kwa kukosa dawa hospitali, HATA WATU WA HAKI ZA BINADAMU NAO WAMEKAA KIMYA BILA KUKEMEA UZEMBE HUO, hilo nalo ni kazi ya madaktari kununua na kuleta dawa za wagonjwa hospitali au ni kazi ya serikali dhaifu ya CCM?

Usiwe shabiki kwa kupotosha ukweli wakati watu wanakufa kwa uzembe na ukatili wa serikali isiyojali raia wake.
 
Juzi 2likuwa na salasini huku kwetu nyumbani nikamuliza kuhusu ulimboka akaniambia ni stori ndefu sasa kekuyo akamuliza ifupishe akakata

ngoja naagize mbege nyingine
 
Hawezi itisha press conference coz swala lipo mahakamni,pili afanyi kazi serikalini.

Hiyo kesi mahakamani ilifunguliwa na nani? Ni mashitaka ya yule kichaa wa kova?

Nadhani kwa kuwa anawafahamu watesaji wake, hakuna haja ya kufungwa midomo, namuomba akiingia mara moja afungue kesi yeye mwenyewe. awafungulie watesaji wake. Akina kova waendelee na kesi yao.
 
Mbopo upo dunia nyingine. Serikali imekubali wazi wao ndiyo waliofanya unyama ule kwa Ulimboka mpaka wamefungia gazeti liloweka bayana kila kitu ila kwa ufupi tu, kama wangetaka ukweli zaidi Serikali wangeenda mahakamani ndiyo ungeona simu ya Pinda ikiwasiliana na J.K na Rama. Tigo wamefukuza wafanyakazi ina maana taarifa zile ni za Kweli tupu.

Ulimboka anyooshe maelezo hukohuko akija hapa aingie free na aishi freely

Mbopo usimueleze kuwa dunia nyingine. Huyu anaweza kuwa ameolewa na akina Rama
 
just a name i liked,ukichukulia kitabu cha KIKOMO ni moja ya vitabu vya mwanzo kabisa kuvisoma katika uhai wangu na nilikua darasa la tatu.

aiseee baba yangu nakuunga mkono asilimia miamo miamoja kweli ungekuwa karibu ningekupa mbege upige pasu
 
Ooooops you have way to irritate. I can see why people in Libya could sodomise Ghadafi with a knife. It is obvious because Ghadafi was thinking differently from the people. Trust me you fit that profile..the question will be is it worth it when it comes to you? Remember what comes around goes around.

is it a crime to think differently??
 
Dr. ulimboka sio mwajiriwa wa serikali kumbuka hilo basi...yeye anafanya private hosptl
 
Tutaongea tutakavyo lakini hii serikali siyo ile aliyotuachia Julius Nyerere. Nyerere asingemuua Kombe. Serikali za kifisadi ndizo zinazoweka killer squads na serikali ya Kikwete ni mojawapo. Na Vincent juzi alitukumbushia kumbe hata Nyerere mlimuwahisha. Siwezi kutetea serikali hii nikiwa na akili timamu.

I really like much of your comments here at jf bro,much respect.
 
Kwanza ni upotoshaji kudai ni mtumishi wa serikali. Lakini anatakiwa atakapopata afya njema, nasi tunamuombea, afikishwe mahakamani na ajibu mashitaka ya uhujumu uchumi na mauaji ya raia wasio na hatia. Halafu afunguliwe mashitaka kwa kuisingizia na kuidhalilisha serikali wakati kinachoitwa unyama kimefanywa kwa mambo yake binafsi.
wewe ktk watu wachache wenye alama za ugaidi ni mmoja wapo kama ni kaka yako katendwa hivi sidhani kama ungalitamka haya
 
Back
Top Bottom