nyengo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 454
- 184
kwa vile tunauhakika wa wewe kuapata ushindi ulio wazi, binafsi na huenda wanachama wengine tungekushauri, katika baraza lako la kihistoria la mawaziri jalibu kuwaweka baadhi ya makamanda wapiganaji wa vyama vya siasa wenye uchungu wa nchi hii.
Wengi tunawafahamu, mfano kamanda mama kilango malecela, kamanda alioongoza vita vya richmond na wenzake, kuna wengine kutoka cuf nk. Wengine wengi utakuwa unawafahamu kiundani maana mlikuwa nao ktk bunge.