Ushauri Kwa chama changu CCM

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Msijikite sana kwenye kutoa matamko imarisheni chama, hakikisheni polisi hawafanyi vurugu mikutano ya chadema maana watu wavivu kufikiria vurugu ikitokea wanafikiria ni CCM tu. Kuweni bize na ahadi lukuki mlizozitoa ili kujipa mazingira mazuri 2015. Vinginevyo mkijikita na mbinu mlizozitumia kwa NCCR 1995 an zile za CUF 2000 basi mtakuwa mnajichimbia kaburi. Sasa hivi mpaka vijijini wananchi wameelimika sana. Watu wasio makini kama kina Tendwa wazuieni wasitoe matamko hovyo hovyo maana kiongozi anatoa tamko hata kijana wa form four anasema huyu anaongea nini? Ni muda wenu wa kukaa kimya na kufanya kazi ili mpate cha kusema 2015, Rais alitoa ahadi nyingi sana mtawaambia nini wananchi hao 2015? au mnadhani mtatumia nguvu??

Ushauri .... chukua .... au acha .......maana naweza nisiwe sahihi sana lakini hayo ndio maoni yangu.
 
CCM na rais hawana mamlaka yeyote over Tendwa jamaa akiamua hata CCM yenyewe anaweza kuifutilia mbali.
 
Kaka tafuta mlango wa kutokea sikio la kufa halisikii dawa. Either hali wameishaiona wanajiandaa kuhama nchi na kuiba sana au akili zimesha cease.
 
Sijui kama watakusikia manake hayo masikio yao ni nta tupu. Sijui hata walipataje ridhaa ya kuongoza nchi kutoka kwa wananchi. Watu wengine bwana.

Wasikie, kazi zao wanazifanya kichama zaidi kuliko kiserikali
 
Mess kama unataka kujua CCM wamejisahau. Jaribu Kumsikiliza Nape.

you will never know whether he is talking on behalf of the govt or CCM?

Ila kiukweli nina hasira na Nape sana. let me be frank
 
Last edited by a moderator:
Wenzako akina Nape wako busy kutaka ccm wawe wapinzani we una jifanya kutoa ushauri!pole sana!
 
Msijikite sana kwenye kutoa matamko imarisheni chama, hakikisheni polisi hawafanyi vurugu mikutano ya chadema maana watu wavivu kufikiria vurugu ikitokea wanafikiria ni CCM tu. Kuweni bize na ahadi lukuki mlizozitoa ili kujipa mazingira mazuri 2015. Vinginevyo mkijikita na mbinu mlizozitumia kwa NCCR 1995 an zile za CUF 2000 basi mtakuwa mnajichimbia kaburi. Sasa hivi mpaka vijijini wananchi wameelimika sana. Watu wasio makini kama kina Tendwa wazuieni wasitoe matamko hovyo hovyo maana kiongozi anatoa tamko hata kijana wa form four anasema huyu anaongea nini? Ni muda wenu wa kukaa kimya na kufanya kazi ili mpate cha kusema 2015, Rais alitoa ahadi nyingi sana mtawaambia nini wananchi hao 2015? au mnadhani mtatumia nguvu??

Ushauri .... chukua .... au acha .......maana naweza nisiwe sahihi sana lakini hayo ndio maoni yangu.

CCM wanatumia mbinu za zamani bila kuzingatia huu ni wakati gani.Wanatumia maneno hata sehemu inayohitaji ufumbuzi wa vitendo. Nilisubiri humo CCM nikiwa naimani kuwa watabadilika, lakini nilichogundua ni kwamba kila viongozi wabaya wanaomaliza muda wao wanawaanda vijana wao kuchukua nchi na kuwalinda na kuendeleza yaleyale.
 
CCM na rais hawana mamlaka yeyote over Tendwa jamaa akiamua hata CCM yenyewe anaweza kuifutilia mbali.

Unazungumzia paper tiger tendwa mwenye kufikiri kwa remote. Yuko kwenye fadhila za CCM. Asubiri mjukuu wake majuto
 
CCM na rais hawana mamlaka yeyote over Tendwa jamaa akiamua hata CCM yenyewe anaweza kuifutilia mbali.

Hana jeuri hiyo yule ni mchumia tumbo tu. Ni mmoja wa watu wakongwe ambao Watanzania hawatakaa wawakumbuke pindi watakapokufa. Ni mmoja wa wapiga kampeni wa chama cha mauaji (ccm).
 
unaona eeee ! yaani haya magamba siyo rahisi kusikia kwa kuwa yanafikiri yataendelea kuiba kura'' HUTUDANGANYIKI''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom