Ushauri kwa Chadema

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,442
Mimi kama mtu mzima huwa nachukua tahadhali kwa kila ninachokifanya ningependa kutoa ushauri kwa Chadema.

Kutokana na malalamiko mengi hasa kutoka baadhi ya vyama vingine vya siasa na serikali, kwamba maandamano ya chadema yanahatarisha amani, Ni ukweli usio pingika kwamba binadamu anapenda kushuhudia kile alichokisema kinajitokeza kweli ili watu wayakumbuke maneno yake, na kwasababu mpaka sasa hatujasikia uvunjifu wowote wa amani kutokana na maandamano ya kanda ya ziwa, yafuataayo yanaweza kujitokeza.

1.Wanao ichukia Chadema wanaweza kutumia pesa nyingi kupandikiza mamluki katika maandamano yao ili wafanye fujo, wapole mali za watu na mambo kama hayo ilimradi tuu yatimie yaliyosemwa.

2.Chadema wawe makini sana na sheria za nchi nyakati zoote, kwasababu yawezekana kabisa wanatafutiwa mtego wa kisheria ili waukiuke then washtakiwe mahakamani waende jera. Nina amini kwasasa Mtu kama Dr slaa au Mbowe anaweza akaenda jela hata kosa dogo tuu la kibinaadamu ambalo kwa mtu mwingine lingemalizwa nje ya mahakama.

Ni imani yangu kwasasa Vyombo vyote vya Dola kwasasa vinaangalia uwezekano wowote ule unaoweza kuwapeleka jera viongozi wa Chadema. Narejea maneno ya msajiri wa vyama vya siasa hivi karibuni.

Hata hivyo Chadema songeni mbele tuu!! Watanzania hasa sisi waathirika wa Utawala huu tumewaelewa vizuri sana.
 
NI Kweli umeonyesha ukomavu,

Hawashindwi kufanya hicho unachokisema na Huenda kukatokea vurugu za watu ambao ni mapandikizi,
Good advice

My addition
nashindwa kuwaelewa hawa jamaa suala la chadema naona linawagusa sana and i think hawapendi jamaa wanavofanya mikutano na inakuwa characterized na

Inakua successful,
Inajaza watu,
na kuna kuwa hakuna vurugu

My Take:
ninaona ni kama wanawachochea wananchi waichukie CDM,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom