Ushauri kwa Chadema: Vincent Nyerere amshughulikie Mkapa katika chaguzi zote

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Kwa jinsi Vincet Nyerere alivyomchezesha kwata la nguvu Mkapa, ninawashauri Chadema kila atakaposogeza mguu kwenye kampeni za uchaguzi Vincent Nyerere ateuliwe na chama kumshikisha adabu. Nilipenda alivyomdhibiti Mkapa kwa hoja nzitonzito kuanzia za familia alizozianzisha na kisha hoja za namna alivyoasisi ufisadi kwa njia ya kubinafsisha njia nyenzo muhimu za uchumi wa nchi yetu alizojenga Julius Kambarage Nyerere.
 
Back
Top Bottom