Ushauri kwa CHADEMA -- Ondoeni kansa (Zitto Kabwe) ili chama kisonge mbele

Tatizo liko kwa Zitto ambaye hataki maamuzi ya wengi ndani ya chama (demokrasia) yaheshimiwe (maendeleo). ZItto amekoma kuwa mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo BUT amekuwa mwanachama wa chama cha Zitto. Whatever Zitto thinks ndio kinafuatia na sio vinginevyo.

Ina maana Zitto akipinga kitu chochote kile, hoja yake inakubaliwa hata kama wengi wameikataa?

Kama ndivyo Chadema mna matatizo mnataka mfanya Zitto bangusilo.
 
Hapana

sivyo hivyo

Ndivyo kwa sababu sio kila anachopinga kinachukuliwa kama msimamo wa chama. Mlianza na Wangwe, ikaja Kafulila, kafuatia Zitto na baada ya hapo ni Slaa.

Mwafrika acheni majungu, si mtaji wa kujenga chama.
 
Acha bange UM.... Umeshasoma comments zangu hapa dhidi ya Wangwe au Kafulila?
 
Ohh I know I know I know I know......

Wakati wa uchaguzi nilianzisha thread ya kusifia kazi ya Zitto. Yeah, ni kweli Zitto ni mwanasiasa machachari (kwa mujibu wa vyombo vya habari Tanzania), and yes, Zitto amekuwa mwanachadema tokea enzi za Kaburu (mwanachadema aliyehamia ccm).

Pamoja na kujua haya yote, nimefikia hitimisho kuwa Zitto ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya CHADEMA. Mara kwa mara, Zitto amekuwa anaua momentum za mageuzi Tanzania. Fuatilia yafuatayo kwa makini:

1. Zitto aliua momentum ya wapinga ufisadi nchini pale alipokubali kuingia kwenye tume ya raisi ya madini. Wabunge wengi (wakiwemo wa ccm) walitaka iundwe tume huru ya bunge ili ifanye kazi yake kwa uhuru bila mwingiliano wa serikali lakini Kikwete na mafisadi wenzake wakataka iundwe tume ya raisi (isiyokuwa na nguvu yoyote kisheria). Matokeo yake wote tunayajua.

--- issue ya buzwagi ilikufa
--- Andy Chande alijua mapendekezo ya tume ya madini kabla ya wabunge
--- Zitto alipata pesa za kutosha kununua hammer (maneno ya zitto haya)
--- Na kadhalika

2. Dowans ni beast linalokula mapesa ya watanzania. Wanachadema na watanzania wengi walianzisha movement ya kuvunja mkataba wa kipuuzi wa Dowans (trust me, this can be done). Wakati mambo yakiwa kwenye high time, Zitto kama kawaida yake, akaua momentum kwa press release yake kuwa Dowans lazima ilipwe pesa na serikali. Ingawa baadaye alikuja na bonge la u-turn kuwa anataka Dowans itaifishwe (what a schit), but wote tunajua kuwa ile momentum against dowans ilikufa right there.

--- Leo hii, Dowans iko mbioni kulipwa mabilioni ya pesa

3. Wakati kampeni za uchaguzi 2010 zimeanza, Zitto kama kawaida yake, alitaka kuleta vurugu la mwaka CHADEMA, pale alipotangaza kuwa anampango wa kugombea uraisi wa Tanzania 2015. Yeye mwenyewe amekiri kwa katiba ya sasa haimruhusu kugombea uraisi mwaka 2015 maana atakuwa hajafikisha miaka 40. Sasa kama sio ubinafsi, Why did he do that?

4. Baada ya NEC kuchakachua matokea ya uchaguzi nchi nzima na kumtangaza Kikwete kuwa mshindi wa uchaguzi. CHADEMA walifanya kitu kilichopelekea vyombo vya habari vingi duniani kutangaza mambo yanayoendelea kwenye bunge la Tanzania - kutoka nje wakati Kikwete akihutubia. Hii iliwapa CHADEMA mtaji mkubwa sana kisiasa. Nasikia hadi leo hii Kikwete amechanganyikiwa na haamini kilichotokea. Wakati hiyo movement ikiwa kwenye high motion, Zitto alifanya kile anachojua best - kuua momentum.

5. Zitto anadhani kuwa chama ni mtu mmoja. Yeye (na Omar Ilyasi) anajihesabu kama the only politician mwenye maamuzi bora ndani ya chadema. Kama ijulikanavyo, Chama ni mkusanyiko wa watu. Anachofanya Zitto, ni kuvunja mkusanyiko huo ili kumpa nafasi yeye binafsi kupata kile anachotaka.

----

Ningeandika mengi sana ila muda hautoshi. Hii mada haina uhusiano na mada zingine zote zinazoendelea hapa JF. Naomba sana mods muiache hapa yenyewe. Ikikosa wachangiaji, itakufa kifo cha kawaida cha JF - itaenda next page... and next ... and next.

Ushauri kwa chadema --- msiogope wapambe watasema nini, mfukuzeni Zitto sasa hivi ili mpate muda wa kutosha wa kujenga chama kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

Asanteni.

Nadhani mambo ya Zitto yamejadiliwa vya kutosha sana, hii sasa ifungwe, haina ladha ya kujadiliwa tena. Kwa nini usilete mambo mapya?
 
Acha bange UM.... Umeshasoma comments zangu hapa dhidi ya Wangwe au Kafulila?

Haina tofauti kati ya issues zilizowatofautisha Chadema na Wangwe na Kafulila. Hii ya Zitto ni mwendelezo tu, na mkimalizana na Zitto mtahamishia fitna na bifu kwa mwingine. It is interesting to know who is next.
 
Next person atakuwa Uwiano Maalum. Mwanaccm anayependa kufuatilia sana habari za CHADEMA
 
Bwa ha ha ha haaaaa. next will be you owner and directro wa Chadema maana hutaki iguswe.

Hivi Zitto kakukosea nini?

Zitto hajanikosea mimi pekee, Zitto kawakosea watanzania woooooote. Nitamsamehe tu pale atakaporudisha kitu kidogo aliyokatiwa na makampuni ya madini ili kuua movement ya kubadili mikataba ya madini. Akiomba msamaha kuhusu madhira yote aliyowaletea wananchi wanaoishi karibu na migodi ya madini, ninaweza mpa breki kidogo.

AKimaliza hayo, aweke wazi ni pesa kiasi gani amekatiwa ili atetee mafisadi wa dowans
 
Kumshutumu mtu hadi kumchukia kwa hear says si vizuri, hisia na dhana hupelekea kwenye uadui na chuki hata pale pasipostahili.

JF we dare to talk openly, weka ushahidi usiokuwa na shaka Zitto kakatiwa kitu kidogo na makampuni ya madini.
 
Uwiano Maalum yuko sahihi kwenye hili. Chadema mkiendekeza hii biashara ya kutokubali kutofautiana kimawazo hamtafika mbali. Angalau Zitto anasema wazi pale anapotofautiana na wenzake. Ni lazima mumheshimu kwa kuwa muwazi badala ya kumbeza.

Amandla......
 
Watu wengine bana, hivi Zitto anapingwa kwa kutofautiana mawazo na wenzake?

Issue za madini na Dowans ni beyond kutofautiana mawazo, ni maslahi ya watanzania wote. Kwa msingi huu, hakuna haja ya kuchambua kinachofanywa na mafisadi wa ccm. Maana kwa mtizamo wa FM na UM - huku ni kutofautiana kimawazo tu.
 
sisi chadema hatupendi kuona akivaa kama mrema, wakati wengine wanapiga suti

Acha kuanguka anguka hovyo,umetumwa na mawazo yako ya ki-Majjin

"Zitto for Sale' wasiliana nasi kwa namba 022 6666666,wahi wanunuzi ni wengi!
 
Watu wengine bana, hivi Zitto anapingwa kwa kutofautiana mawazo na wenzake?

Issue za madini na Dowans ni beyond kutofautiana mawazo, ni maslahi ya watanzania wote. Kwa msingi huu, hakuna haja ya kuchambua kinachofanywa na mafisadi wa ccm. Maana kwa mtizamo wa FM na UM - huku ni kutofautiana kimawazo tu.

Anatofautiana kimawazo kuhusu maslahi ya watanzania yako wapi kwenye hoja nzima. Huko kwangu mimi ni kutofautiana kimawazo na si swala la uzalendo. Naamini Zitto ana uzalendo kama wale ambao anatofautiana nao. Sijasikia mahali ambapo amekataa kuchambua au kukosoa chama tawala. Anachotofautiana ni namna ya kuendelea baada ya uchambuzi.

Amandla.......
 
Anatofautiana kimawazo kuhusu maslahi ya watanzania yako wapi kwenye hoja nzima.

Issue ya mikataba ya madini, dowans, etc hujaziona?

Huko kwangu mimi ni kutofautiana kimawazo na si swala la uzalendo. Naamini Zitto ana uzalendo kama wale ambao anatofautiana nao. Sijasikia mahali ambapo amekataa kuchambua au kukosoa chama tawala. Anachotofautiana ni namna ya kuendelea baada ya uchambuzi.

Amandla.......

Ndio maana nikasema, kwa msingi huu, wapinga ufisadi na mafisadi Tanzania wanatofautiana tu kimawazo (kwa standard zako).
 
Back
Top Bottom